FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).
Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.
Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.
Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).
Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.
Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.
Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.
My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.
Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,
Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.
Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.