Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako Dada yangu unateswa sana na Udini, Gaza ilikuwa ikikaliwa na wayahudi, baada ya siasa za kistaarabu za Yasser Arafat na mkataba wa Oslo, Serikali ya Israel ikahamisha kwa nguvu raia wote wa kiyahudi mwaka 2005,ili kupisha Wapalestina waishi Gaza.Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).
Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.
Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.
Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).
Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.
Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.
Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.
My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.
Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,
Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.
Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Udini ndiyo nini, unamaanisha Uislam?Tatizo lako Dada yangu unateswa sana na Udini, Gaza ilikuwa ikikaliwa na wayahudi, baada ya siasa za kistaarabu za Yasser Arafat na mkataba wa Oslo, Serikali ya Israel ikahamisha kwa nguvu raia wote wa kiyahudi mwaka 2005,ili kupisha Wapalestina waishi Gaza.
Laiti Israel wangejua kuwa hicho ndo kifo Chao wasingejaribu kabisa,HAMAS inaamini ktk siasa za kumwaga Damu,sasa hivi Israel inajihami mnalia eti wanaonewa,HAMAS hawana kambi za kijeshi,wala sare za jeshi,wanapigana vita katikati ya wanawake na watoto ili kutafuta huruma ya Dunia.
Israel wangekuwa Dhaifu kwa kuonea huruma watoto na wanawake,HAMAS ingeifuta Israel.
Halafu nyie Waislamu hamtambui uwepo wa Taifa la Israel,sasa mnataka Israel wote wafe,sasa ndugu zenu Palestina wakiendelea kuwa viburi kwa kudanganywa na Iran watakufa wote.
This is rubbish, mtu akiamini sana mambo ya dini, anakuwa mpuuzi hadi kuandika ugoro kama huu.Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).
Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.
Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.
Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).
Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.
Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.
Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.
My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.
Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,
Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.
Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Ssa kama wewe huna dini, kinakuuma nini wenzako kuwa na dini?This is rubbish, mtu akiamini sana mambo ya dini, anakuwa mpuuzi hadi kuandika ugoro kama huu.
🤣🤣🤣🤣Wewe bibi usituchanganye, hakuna kubadili upepo hapa.
Toka mwanzo umetuaminisha mazayuni ni makafir wanaowaonea waislam wa Palestine. Umekuwa ukituaminisha pia Hamas wamekuja kama mkombozi wa waislamu na inshallah watashinda vita. Na umekuwa ukitoa wito mataifa yote ya kiislam kuungana kumpiga mzayuni.
Leo imekuwaje bi mkubwa kutuambia hata kule Hamas Kuna mazayuni na makafir pia?
Hivi wewe kahaba wa Kigunya umepata wapi nguvu za kuleta proaganda hapa ?Hii vita imewalfanya mpaka waliopo dunia yua nne na ya tano kufunguwa milango kuja kujionea kuna nini. Ni hatari sana.
Wa dunia ya nne na ya tano watafanya kila nia kuizuwia hii vita isiwachonganishe wao. Wanafanya kila njia kuiwacha iendelee dunia ya kwanza mpaka ya tatu.
Milango ya dunia ya kwanza mpaka ya tatu ipo wazi kabisa kwa sasa.
Hapa itabidi ufafanue zaidi.Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi
Baada ya mkong'oto😆U-turn
Ni hadi pale wote tukubali mafundisho ya Shia na kusurrender kwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S amani ya kudumu itakuwepo.Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).
Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.
Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.
Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).
Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.
Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.
Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.
My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.
Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,
Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.
Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Mimi sikubaliani na wewe hapo toka lini jeshi la Israel likawa halali? Hao wamepora ardhi za Palestine na Wayahudi wenye asili ya kiyahudi sio hao ma Zionist walikuja pandikizwa na Uingereza. Kuongea lugha ya kiyahudi au kiarabu si lazima uwe Myahudi au Mwarabu.Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).
Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.
Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.
Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).
Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.
Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.
Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.
My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.
Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,
Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.
Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Mkuu kula chuma hicho.Si kila asiye Muislam ni kafir daima. Mwenyezi Mungu "huutowa umauti kwenye uhai na huutowa uhai kwenye umauti".
Kafiri ni kama wewe usiyejijuwa uko wapi.