Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Maana ya kafiri ni mpinazni au mpingaji Mwenyezi Mungu.

Labda huielewi maana yake tu, makafiri wametajwa kwenye biblia pia.

Kama mpinzani anakataa kuitwa mpinzani, ageuke Msigwa.

Kama ni kafiri na unaogopa kuitwa kafiri, toka kwenye ukafiri.
kwahiyo wakristu hawaamini ktk mungu ? au neno mwenyezi ndo linakuchanganya?
 
w
Mimi sikubaliani na wewe hapo toka lini jeshi la Israel likawa halali? Hao wamepora ardhi za Palestine na Wayahudi wenye asili ya kiyahudi sio hao ma Zionist walikuja pandikizwa na Uingereza. Kuongea lugha ya kiyahudi au kiarabu si lazima uwe Myahudi au Mwarabu.

Kuhusu jeshi la Israel wapo warabu ambao wanajita Madoruz na wako wa Morocco wamenda huko wenye asili za kiyahudi na wale Waislam koko na kusudia Waislam kwa majina tu.

Hamasi wapiganaji wake karibu wote Waislam 80 na 10% wakristo na 10% Madoruz lakini hawa wote warabu wenye asili ya hapo, sio Jeshi la Israel hakuna hata mwenye asili ya pale, wenye asili ya pale ni wale Wayahudi wako against Zionist. .
wamepora mwaka gan ?
 
mungu ni mmoja tu aliyeumba ardhi na mbingu
Naam, tena tunatakiwa tujisalimishe na tunyenyekee kwake tu.

Huaminini kuwa Mungu kazaliwa na mwanamke?
 
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).

Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.

Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.

Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).

Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.

Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.

Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.

My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.

Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,

Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.

Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Mazayuni kauli gani hiyo mbona ya kichuki?
 
Naam, tena tunatakiwa tujisalimishe na tunyenyekee kwake tu.

Huaminini kuwa Mungu kazaliwa na mwanamke?
Yesu ndo alizaliwa na mwanamke , ila mungu ni mmoja na hamuombi mtu kumsaidia kutoa hukumu wala kumpigania
 
Ssa kama wewe huna dini, kinakuuma nini wenzako kuwa na dini?

Biunafsi najivunia sana Uislam wangu.

Vipi wewe mbona hujivunii kutokuwa na dini?

Kwenu hakuna mizimu isiyo na dini?
Unajivunia Uislamu, Kwani Mungu ni mwislamu?
 
Kwa kukazia tu na kunogesha mada, ili muelewe kuwa hii vita ni zaidi ya mnayo isikia na kuiona kwenye mitandao a upande mmoja.

Majeshi ya Waarabu huko Syria leo yamekombowa visima vya mafita vilivyochukuliwa kwa ngiuvu na WQamarekani siku za nyuma huko Syria. Mapigano makali yamewauwa na kuwatiwa miuku wa Marekani kwenye hivyo visima vya "Omar".


View: https://youtu.be/mxSJTD4P4AE?si=_HxEXDEld7eSwxqY
 
Back
Top Bottom