Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

images (17).jpeg
 
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).

Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.

Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.

Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).

Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.

Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.

Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.

My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.

Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,

Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.

Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
yaani kutudanganya kwamba hii sio vita ya waislam na wasio waislam, wakati dunia nzima ya kiislam inawasapoti wapalestina kwa minajili ya dini na sio haki, unatifunga kamba hapo na humdanganyi mtu. hii ni vita ya kidini, na kinachotafutwa pale ni ardhi ya Waiosrael (ambao mmeelekezwa kuwaita mayahudi/mazayuni/makafiri) ambayo walipewa na Mungu, ongea koote ila ukweli ndio huo. ndio maana hata Israel amekuwa akiulinda msikiti wa al aqsa ambao hata Lebanon (washia) walitaka kuupiga kwa lengo kwamba dunia yote ichafuke kwasababu kwa waislam kuupora msikiri wa al aqsa na kujenga sinagogi la wayahudi ni kitu ambacho hata wewe bibi kizee hautakubali. kwa taarifa yako, wayahudi wataufuta ule msikiti, na watajenga palepale sinagogi la wayahudi kwasababu awali pale palikuwepo hilo sinagogi na waislamw alipovamia ndio walilivunja na kujenga ule msikiti. vita ni ya kidini pure.
 
Si kila asiye Muislam ni kafir daima. Mwenyezi Mungu "huutowa umauti kwenye uhai na huutowa uhai kwenye umauti".

Kafiri ni kama wewe usiyejijuwa uko wapi.
kwa mkristo wa kweli bora kuitwa kafir kuliko kuwa muislam, kwasababu bora hata kufa kuliko kuwa muumini wa dini ya kiislam. labda nimsaidie kujibu.
 
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).

Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.

Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.

Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).

Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.

Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.

Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.

My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.

Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,

Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.

Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Na huko Uingereza pia.
 
Aise kila mtu na maisha yake.
Mbona huku kwetu ccm imetuteka nyara na hamsemi🤔.
Wamejimirikisha haki ya kutawala.
Kila anaekuwa tofauti nao,kesi zitamwandama mpaka ukoo mzima.

Wamejimirikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama kinyume na katiba.
Haiwezikani,Mkuu wa Wilaya/Mkoa anaeteuliwa na rais kuwa m/kiti wa ulinzi na usalama wakati Hana mafunzo yoyote ya kijeshi.

Bora kule wanakipiga kuondoa unafiki.

Wale ni ndugu damudamu.
Kaini na Abeli.
So ni endless war.
 
Huo ni mtazamo wako, kama unampinga Mwenyezi Mungu mmoja basi wewe ni kafiri pia.

kauli yako tu inaonesha wewe ni kafiri.
Faizafox ,ukipata MUDA leta mada za ndoa ya kiislam mana nataka kuslimu
 
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).

Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.

Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.

Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).

Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.

Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.

Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.

My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.

Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,

Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.

Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
allah akbar...sisi Hamas tunaipeleka dunia kwenye WW3 kwa kupigania ardhi yetu,itoshe kusema sisi ni wamba sana
 
Kwanza, shika adabu yako kwa "name calling".
Wapi nimefanya name calling?

Unajua hata name calling ni nini kwa mujibu wa policy za JF?

Yaani unakataa heshima ya umri wako kuwa sasa wewe ni ajuza na si binti?

Kwahiyo wewe unaamini "uajuza" ni name calling?
Kama hauna dini, siyo tatizo letu. Ni lako.
Dini ni nini?

Nini faida ya dini ?

Dini zilikuwepo kabla ya binadamu au dini zilimkuta binadamu?

Huyo mungu wa walio na haki kama yupo mbona hajitokezi kuwatetea wenye haki ??
Kwenu hakuna mizimu?
Siamini katika chochote .

Una swali lingine?
 
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).

Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.

Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.

Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).

Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.

Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.

Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.

My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.

Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,

Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.

Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
Kwhiyo israel wengi hawamuamini mwenyezi mungu unamatatizo na mila na deturi za kiarabu ulizo lisishwa na JE WW UKIFA UNAKUWA MIONGONI MWA MABIKIRA 72 ATAKAYEPEWA OSAMA ANGALI UNAWATOTO 7 NA JE KWANINI MALAIKA WENU MPENDWA MUHAMADI ALIAMUA KUMUITA ISRAEL MTOA ROHO
 
Bi Faiza vipi unaendeleaje na maandamano huko Uingerezani ,kama vipi hamia kwa rafiki zako wa Houth🤣🤣🤣 ukale tambi huko mpaka upauke
 
Faiza foxy kumbe bongo wako ni mdogo kama chaja ya pini ndogo ya Nokia unaamini upuzi upuzi wa kwenye vitabu vya hadithi..........inasikitisha
 
Ni vita kama vita zingine. Vita vya Congo na hata vya sasa Sudan vimeua watu wengi kuliko hivyo.
 
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel).

Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na Wayahudi au Waislam na wasio Waislam.

Hamas ni kikundi cha kihalali cha kisiasa na Mazayuni ni kundi 'halali" la kisiasa. Vina sura na mitazamo tofauti, lakini vyote vipo kihalli.

Tukija upande wa israel, wapo, mpaka kwenye jeshi lao, mazayuni wanaojipachika uyahudi wasio nao, kuna Eaislam, kuna wakristo na kuna wasioamini Mungu wala dini, ndiyo wengi zaidi).

Kwa upande wa Hamas ni hivyo hivyo, wapo, wayahudi, wapo Waislam, wapo Wakristo na wapo wachache sana wasioamini kabisa.

Vita inayopigwanwa sasa hivi ni vita kati ya wazuri na wabaya. Wazuri kwa maana ya wanao amini sheria na sharia za Mwenyezi Mungu na wabaya ni katika wasioamini katika mazuri, wao mabaya kwao ndiyo mazuri.

Imefikia mahala sasa, hii itakuwa 'shock" kwa wengi, mpaka viumbe visivyoonekana, wengine wanaita majinni, wengine wanawaita mapepo, wengine wanawaita "ghouls" wengine wanawaita mizimu. Kwa ufupi, viumbe vya kiroho navyo vipo vitani. Kila mmoja anachukuwa upande aupendao kwa sababu zake.

My Take; Upande wa mema na mazuri ndiyo upande wa Mwenyezi Mungu na huo ndiyo utakuwa kidedea mwisho wa siku.

Hii ni vita kubwa sana zaidi ya tunavyoichukulia kutokana na vyombo vya habari, siku hizi kila mtu ni mwana habari,

Vita hii imeshaanza kuvuka mipaka ya dunia ya kwanza, hya pili na ya tatu, sasa ipo dunia ya nne na ya tano. Tuombe Mwenyezi Mungu isifike dunia ya sita na ya saba.

Hii mada ni nzito sana kwa wale wanochukulia hii vita kama ushabiki wa yanga na simba.
akil za madrasaa hz
 
Back
Top Bottom