Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazayuni ni kiwahili cha wapi? ni wazayuni sio mazayuniWapalestina ni wezi.Wanang'ang'ania ardhi ya "mazayuni"!
Lakini israel kuna waislamu asilimia 14 na hapo vpUwongo. Hamna mkristo ambae ni Hamas member. Na hapo Gaza idadi ya wakristo haizidi 1000 na wengi walikimbia baada ya Hamas kuingia madarakani
Aulizwe@FaizafoxyMazayuni ni kiwahili cha wapi? ni wazayuni sio mazayuni
Israel ni secular state ndio maana kuna watu wa imani zote.Lakini israel kuna waislamu asilimia 14 na hapo vp
Kwenye Quruani imeandikwa Israel Zion lakini hakuna sehemu iliyoandikwa Palestine.Hao wamepora ardhi za Palestine na Wayahudi
Siyo kweli, israel ni taifa lililoanzishwa na mazayuni kwa sababu maalum.Israel ni secular state ndio maana kuna watu wa imani zote.
Na wote wana haki Sawa.
Qur'an imeandika Bani Israel kuwaongelea watoto wa Yakobo sio nchi. Nanimeisha kueleza Ethopia na Sebah ambayo Yemen kwenye bibilia zenu imezitaja ndio nchi za Yakobo alizopewa. Mbona hamsemi Ethopia ni taifa teule au kwa kuwa mwafrica 😄 Miafrica imezowea kujipendekeza kwa wazungu. Ethopia na Yemen pia ni mataifa ya Yakobo. Nilisha wambia kizazi cha Yakobo ni mataifa 12 mtaishia kujilamba tu hamjui mnalamba nini.Kwenye Quruani imeandikwa Israel Zion lakini hakuna sehemu iliyoandikwa Palestine.
Bi faiza ,a,aleykoum.Siyo kweli, israel ni taifa lililoanzishwa na mazayuni kwa sababu maalum.
Ngoja nikufungulie kidogo;
Malango ya kuendea na kutokea dunia zingine iko kadhaa duniani, na kila lango moja lina milango mia moja. Lango moja lenye milango 100 lipo ziwa Victoria au niseme karibu na ziwa Victoria, lango kingine lipo bahari iliyokufa "dead sea" au karibu na hapo.
Ukielewa hayo unaweza kuanza kupata mwangaza kwanini mazayuni walikua wanajishauri waanzishe taifa lao Uganda au Palestina. Kuna malango zaidi yapo sehemu za hatari zaidi ya Victoria na bahari iliokufa (dead sea).
AlhamduliLlah upo uliyeielewa mada.Ulivyosema kuwa hiyo vita inahusisha hadi majini ni kweli kabisa.
Ila wako watakao bisha sababu hawajui hii vita kwa undani, wanachukulia kama hii vita ni geopolitics zaidi ila ukweli ni kuwa hapo gaza ni zaidi ya siasa.
Watu wanatoa kafara kila leo mazayuni wameamua kumuabudu shetani kwelikweli ila ALLAH atawanusuru waumini hii ni ahadi yake. FaizaFoxy
Sina inbox, uliza hapanili wengi wafaidike. Hii ni elimu ibayitakuwa niigawe kwa wengi, wenye uelewa watanielewa.Bi faiza ,a,aleykoum.
Nikiweka bando ntakufuata inboksi uniongezee maarifa kuhusu duniq 3,4,5 na Mambo ya malango
Quruani imeandikwa Karne ya Saba baadhi ya mambo imekopi na baadhi ni ya uzushi.hata hivyo bado imetaja Mount Zion na Israel.Qur'an imeandika Bani Israel kuwaongelea watoto wa Yakobo sio nchi.
Ratizo la biblia imetiwa mikono ya watu na ina "humanly fantasies" nyingi sana.Hata kwetu Wakiristo tunafahamu kupitia Biblia takatifu kuhusu agenda kuu ya Wafilisti na Makabila nje ya nyumba ya Israel waliokusudia kuiangamiza nyumba ya Yakobo. Hilo halikuanza Leo limekuwapo miaka mingi sana imepita na litaendelea kuwepo ila hawataweza fanikiwa