Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Mapalestina yapigwe tu... zile baruti 1500 wanazitupa lini
 
Israel ni secular state ndio maana kuna watu wa imani zote.
Na wote wana haki Sawa.
Siyo kweli, israel ni taifa lililoanzishwa na mazayuni kwa sababu maalum.

Ngoja nikufungulie kidogo;
Malango ya kuendea na kutokea dunia zingine iko kadhaa duniani, na kila lango moja lina milango mia moja. Lango moja lenye milango 100 lipo ziwa Victoria au niseme karibu na ziwa Victoria, lango kingine lipo bahari iliyokufa "dead sea" au karibu na hapo.

Ukielewa hayo unaweza kuanza kupata mwangaza kwanini mazayuni walikua wanajishauri waanzishe taifa lao Uganda au Palestina. Kuna malango zaidi yapo sehemu za hatari zaidi ya Victoria na bahari iliokufa (dead sea).
 
Unaweza ipaka rangi ya aina yeyote hiyo vita upendavyo lakini ukweli ni kuwa Myahudi ni adui Mkuu wa Uslamu na Uarabu na hivyo hilo halitobadilika hadi kiyama

Bahati nzuri agenda hiyo kuu mayahudi wanaifahamu vizuri kupitia kimaandiko matakatifu na wamejiandaa vilivyo kukabiliana nalo
 
Kwenye Quruani imeandikwa Israel Zion lakini hakuna sehemu iliyoandikwa Palestine.
Qur'an imeandika Bani Israel kuwaongelea watoto wa Yakobo sio nchi. Nanimeisha kueleza Ethopia na Sebah ambayo Yemen kwenye bibilia zenu imezitaja ndio nchi za Yakobo alizopewa. Mbona hamsemi Ethopia ni taifa teule au kwa kuwa mwafrica 😄 Miafrica imezowea kujipendekeza kwa wazungu. Ethopia na Yemen pia ni mataifa ya Yakobo. Nilisha wambia kizazi cha Yakobo ni mataifa 12 mtaishia kujilamba tu hamjui mnalamba nini.
 
Hata kwetu Wakiristo tunafahamu kupitia Biblia takatifu kuhusu agenda kuu ya Wafilisti na Makabila nje ya nyumba ya Israel waliokusudia kuiangamiza nyumba ya Yakobo. Hilo halikuanza Leo limekuwapo miaka mingi sana imepita na litaendelea kuwepo ila hawataweza fanikiwa
 
Ulivyosema kuwa hiyo vita inahusisha hadi majini ni kweli kabisa.
Ila wako watakao bisha sababu hawajui hii vita kwa undani, wanachukulia kama hii vita ni geopolitics zaidi ila ukweli ni kuwa hapo gaza ni zaidi ya siasa.
Watu wanatoa kafara kila leo mazayuni wameamua kumuabudu shetani kwelikweli ila ALLAH atawanusuru waumini hii ni ahadi yake. FaizaFoxy
 
Siyo kweli, israel ni taifa lililoanzishwa na mazayuni kwa sababu maalum.

Ngoja nikufungulie kidogo;
Malango ya kuendea na kutokea dunia zingine iko kadhaa duniani, na kila lango moja lina milango mia moja. Lango moja lenye milango 100 lipo ziwa Victoria au niseme karibu na ziwa Victoria, lango kingine lipo bahari iliyokufa "dead sea" au karibu na hapo.

Ukielewa hayo unaweza kuanza kupata mwangaza kwanini mazayuni walikua wanajishauri waanzishe taifa lao Uganda au Palestina. Kuna malango zaidi yapo sehemu za hatari zaidi ya Victoria na bahari iliokufa (dead sea).
Bi faiza ,a,aleykoum.
Nikiweka bando ntakufuata inboksi uniongezee maarifa kuhusu duniq 3,4,5 na Mambo ya malango
 
Ulivyosema kuwa hiyo vita inahusisha hadi majini ni kweli kabisa.
Ila wako watakao bisha sababu hawajui hii vita kwa undani, wanachukulia kama hii vita ni geopolitics zaidi ila ukweli ni kuwa hapo gaza ni zaidi ya siasa.
Watu wanatoa kafara kila leo mazayuni wameamua kumuabudu shetani kwelikweli ila ALLAH atawanusuru waumini hii ni ahadi yake. FaizaFoxy
AlhamduliLlah upo uliyeielewa mada.

Natamabu wabgejuwepo zaudu na wenye naswali yanayohusiana na mada ili uelewa ufunguke zaidi.
 
Bi faiza ,a,aleykoum.
Nikiweka bando ntakufuata inboksi uniongezee maarifa kuhusu duniq 3,4,5 na Mambo ya malango
Sina inbox, uliza hapanili wengi wafaidike. Hii ni elimu ibayitakuwa niigawe kwa wengi, wenye uelewa watanielewa.
Nakaribisha maswali.
 
Qur'an imeandika Bani Israel kuwaongelea watoto wa Yakobo sio nchi.
Quruani imeandikwa Karne ya Saba baadhi ya mambo imekopi na baadhi ni ya uzushi.hata hivyo bado imetaja Mount Zion na Israel.

Quruani kamwe haijawataja Wapalestina hao so called "Wapalestina" ni wavamizi wa Kiarabu waliovamia Jerusalem wakiongozwa na Omar kutoka Hejazi.

Msiidanganye Dunia na uongo wenu wa kutunga na kukopi.
 
Hata kwetu Wakiristo tunafahamu kupitia Biblia takatifu kuhusu agenda kuu ya Wafilisti na Makabila nje ya nyumba ya Israel waliokusudia kuiangamiza nyumba ya Yakobo. Hilo halikuanza Leo limekuwapo miaka mingi sana imepita na litaendelea kuwepo ila hawataweza fanikiwa
Ratizo la biblia imetiwa mikono ya watu na ina "humanly fantasies" nyingi sana.
 
Back
Top Bottom