FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #121
Hakuna vita ya mayahufi na Waarabu sasa hivi. Kuna vita ya haki na batil.Unaweza ipaka rangi ya aina yeyote hiyo vita upendavyo lakini ukweli ni kuwa Myahudi ni adui Mkuu wa Uslamu na Uarabu na hivyo hilo halitobadilika hadi kiyama
Bahati nzuri agenda hiyo kuu mayahudi wanaifahamu vizuri kupitia kimaandiko matakatifu na wamejiandaa vilivyo kukabiliana nalo
Tazama Wayahudi wanawashambulia mazayuni, tena majenerali wa jeshi la mazayuni:
View: https://youtu.be/whhWjTyLxDY?si=Y5YG4t6WekdbOPR0