King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Dec 2, 2023 #1 Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha. Au wanaviziana? Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa mataifa yenye vita ili waishi kwa amani na upendo.
Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha. Au wanaviziana? Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa mataifa yenye vita ili waishi kwa amani na upendo.
DungaMawe JF-Expert Member Joined Jul 31, 2022 Posts 1,522 Reaction score 4,630 Dec 2, 2023 #2 corona iliondosha nzige, vita vya ukrain vikaondosha corona, vita vya palestina vikainyamazisha ukrain na urusi, anayefuatia.......
corona iliondosha nzige, vita vya ukrain vikaondosha corona, vita vya palestina vikainyamazisha ukrain na urusi, anayefuatia.......
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 2, 2023 #3 Hakika...
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,789 Reaction score 10,388 Dec 25, 2023 #4 DungaMawe said: corona iliondosha nzige, vita vya ukrain vikaondosha corona, vita vya palestina vikainyamazisha ukrain na urusi, anayefuatia....... Click to expand... Ukraine bado wanauana
DungaMawe said: corona iliondosha nzige, vita vya ukrain vikaondosha corona, vita vya palestina vikainyamazisha ukrain na urusi, anayefuatia....... Click to expand... Ukraine bado wanauana