Vita ya Kiuchumi imeishia wapi?

Vita ya Kiuchumi imeishia wapi?

malang0

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
440
Reaction score
523
Katika kipindi cha Awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa COVID-19 tulielezwa hivyo, Madini yetu, koroshona hata kwenye uwekezaji pia.

Je vita hii imekwisha lini maana hatumsikii Rais wetu Mama Samia akiizungmzia tena?
 
Nakumbuka vita vya kihisia vilivyozidi kupamba moto, jemedari aliamrisha ukuta wa Mererani kujengwa ili kudhibiti vito vya thamani visiibiwe. Ambacho kingefuata ingekuwa ni kujenga kuta nyingi zaidi kuzunguka migodi na mbuga zote za wanyama ili kuwadhibiti mabeberu wasipate wasaa wa kusogelea rasilimali za nchi yetu.
 
Mama mbona alisema tulijenga juu na ulinzi wa jeshi ila tunaibiwa wakichimba chini sisi tunalinda ukuta
 
Nakumbuka vita vya kihisia vilivyozidi kupamba moto, jemedari aliamrisha ukuta wa Mererani kujengwa ili kudhibiti vito vya thamani visiibiwe. Ambacho kingefuata ingekuwa ni kujenga kuta nyingi zaidi kuzunguka migodi na mbuga zote za wanyama ili kuwadhibiti mabeberu wasipate wasaa wa kusogelea rasilimali za nchi yetu.
😃😂😁

Nawa~Zoom
 
Katika kipindi cha awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa Covid 19 tulielezwa hivyo, Madini yetu, koroshona hata kwenye uwekezaji pia. Je vita hii imekwisha lini maana hatumsikii Rais wetu Mama Samia akiizungmzia tena?
Yule bwana alikuwa anapigana na mizuka yake mwenyewe.
Shadow boxing!
 
Back
Top Bottom