Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Haikuwahi kuwepo.Katika kipindi cha awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa Covid 19 tulielezwa hivyo, Madini yetu, koroshona hata kwenye uwekezaji pia. Je vita hii imekwisha lini maana hatumsikii Rais wetu Mama Samia akiizungmzia tena?