Vita ya Kiuchumi imeishia wapi?

Haikuwahi kuwepo.
 
Msinichanganyie battery na gunzi maana tochi haitowaka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa yeye kachanganywa na udongo

Kachanganywa na udongo tuone kama hautakuwa na rutuba![emoji276]
 
Sheria mojawapo ya vita ni kwamba usimpige adui aliyelala chini, sasa Jemedari 'amelala' hivyo mabeberu yameingiwa huruma.
 
Huna lolote ulijualo. Kojoa kalale
 
Vita hiyo imekufa na kuzikwa chato.
 
Ile vita ilikua ya mda mfupi tu tumerudi kwenye utulivu kwani mini lakini hamtaki amani(kwa sauti ya ndungani)
 
Maigizo ya mwendazake
 
Naona alitamani kuwa propagandist ila hakuwa na knowledge hiyo, baada ya kufa formal president wa cuba 🇨🇺 late comrade castro tuliambiwa zaidi ya majaribio 100 kutaka kumuua maana yake wakaboresha mifumo yao. Maana yangu ni kwamba,badala ya kutumia muda mrefu kuhusu mabeberu angetengeneza mifumo mizuri tena endelevu hapo mabeberu watapenyea wapi?
 
Hiyo ilikuwa propaganda na gia ya mwendazake ya kuteka watanzania wanyonge wa nchi hii ambao hawana elimu. Na wenye elimu ambao hawakuelimika!

Mwendazake alikuwa na programu maallumu ya kubrainwash wananchi wa makundi tajwa,na alikuwa amefanikiwa sana kwenye mradi huo baada ya kuzuia uhuru wa habari na kidhibiti vyombo vya habari.
 
Nchi ya viwanda?
 
Washauri wake walikuwa akina Mwigulu Nchemba na Ndugai unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…