unajua boss, hadi leo huwa natafuta surveyor aliyepewa kazi ya kuchora ramani ya africa aliipendelea sana tanzania, ukiondoa africa ya kusini tanzania ndio yenye ukanda wa bahari mrefu sana africa, ndio yenye bandari zaidi ya moja, Tanzania imepakana na malawi zambia congo burundi rwanda uganda, pia ipo karibu kilogistic na zimbambwe sudan ya kusini Northen mozambique, congo brazavilleUganda cargo zao nyingi zinapitia Mbombasa. Na Uganda anafanya mapinduzi makubwa sana ya Viwanda.
Pia South Sudan still ni potential kibiashara maana anahutaji sana bidhaa kwa ajili ya kuijenga nchi yake. Wao ni landlocked na wanategemea sana Kenya na Uganda.
Congo upande wa mpaka wake na Uganda pako active zaidi kuliko upande wa border yake na Rwanda pamoja na Burundi hivyo kuna faida zaidi kuingia Congo kupitia Border yake na Uganda.
Bidhaa nyingi zinazoenda Congo kupitia Tanzania zinapitia njia ya Tunduma then Zambia ambapo pia TAZARA inaboreshwa.
It's a matter of time but the future is promising. Tunahitaji tu kufanya maamuzi magumu
Tungeliweza kutumia geografia yetu vizuri tusingekuwa tunalima wananchi wangepewa cupon kila ijumaa wanaenda supermarket kupata mahitaji, hakuna mwananchi angehangaika kujenga nyumba, vijana akibalehe tu anapewa nyumba gari na mke kwa gharama za serikali, vijana wangefanyaka,i ya jeshi ya kuchunga nchi yetu, hizi za manamba wangefanya wapakistani wahindi na wajaluo