Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

Ukichukua umri wako ukaongeza na umri wa huyo jamaa wako hauzi miaka 40.

Mambo ya kuchuniana Kwenye mahusiano Ni ya watoto wa Gen Z.Mkikua mtaacha tu.
 
Ukichukua umri wako ukaongeza na umri wa huyo jamaa wako hauzi miaka 40.

Mambo ya kuchuniana Kwenye mahusiano Ni ya watoto wa Gen Z.Mkikua mtaacha tu.
Sasa mathalani kama yeye ndiye kamkosea mwanaume wake na hajaomba msamaha unataka mwanaume afanyaje?
 
Bila shaka huyu ni kutoka Facebook

Kule Facebook unatumia jina gani
 
Ashapiga?
 
Tokaa kulee, utoto usilete hapa.
 
Hamna kitu kinaitwa mapenzi ya kweli ni uongo tu, ni ngumu sana wote mkapendana....ukiona mambo yanaenda ujue Moja kaacha kutumia akili
Well said mkuu,ukweli mtupu bila unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…