Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Kwaio merry ume ameamua kuja kushitaki hapa?
Nitumie sms basi tumalize ugomvi.
Nitumie sms basi tumalize ugomvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusamee, jibu sms yangu sasaHey guys hope mko poaaa
Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.
Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nini kimetokea tumepishana kauli kidogo tu naona mwenzangu kabadilika.
Sioni text zake wala call zake, zimepita wiki mbili sasa yupo kmya, wiki iliyoisha nimemtext kumpa HI plus kuomba msamaha kwa kitu hata sijui nilichotenda amejibu shortcut sana hadi nikajisikia vibaya.
Sasa na mimi niliamua kukaa kmya leo naona text yake "hey i mic you"
Wanaume mnazingua
Sawa. Kwa hiyo wakikuwa wataacha mambo ya kitoto au siyo? Halafu unaweza kuta ni watu wazima kabisa ati! Haya ndiyo maisha!Utoto raha sana.
Tumbua😂😂😂😂Ashachoka tumbua lako hana cha kupoteza.
Uzi ufungwe.Tatizo ulimpa mzigo mapema
si ndio hapoUnakuta msamaha wenyewe anaomba na vichapo juu utasikia "leo kazi ya kubembeleza ninayo, haya basi samahani". Halafu anataka asamehewe hapo hapo
hapo kwenye kosonya itakuwa ngumu maana amesema alikuwa anamvizia vizia baada ya miezi mitatu gumoyo ndo gukadondokaOngezea ni hii,I miss you,why unanitesa lakini huku unasonya,maisha bila unafiki hayaendi
Wacha bwana!!Hamna kitu kinaitwa mapenzi ya kweli ni uongo tu, ni ngumu sana wote mkapendana....ukiona mambo yanaenda ujue Moja kaacha kutumia akili
🙌🙌🙌🙌🙌Wacha bwana!!
Mbona km ina kaukwelii hiviii. LolHamna kitu kinaitwa mapenzi ya kweli ni uongo tu, ni ngumu sana wote mkapendana....ukiona mambo yanaenda ujue Moja kaacha kutumia akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo I miss you anataka akukaze akuchunie tena
Akifanya hivyo usisahau kuleta uzi mwingine
Unaweza kukuta janaume lina 50+ na huyo kibiriti ngoma wake ana 40+.Sawa. Kwa hiyo wakikuwa wataacha mambo ya kitoto au siyo? Halafu unaweza kuta ni watu wazima kabisa ati! Haya ndiyo maisha!