Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

Hapo kilichomisiwa ni kipochi manyoya 😹
 
Hey guys hope mko poaaa

Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.

Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nini kimetokea tumepishana kauli kidogo tu naona mwenzangu kabadilika.


Sioni text zake wala call zake, zimepita wiki mbili sasa yupo kmya, wiki iliyoisha nimemtext kumpa HI plus kuomba msamaha kwa kitu hata sijui nilichotenda amejibu shortcut sana hadi nikajisikia vibaya.

Sasa na mimi niliamua kukaa kmya leo naona text yake "hey i mic you"

Wanaume mnazingua
Kupenda ni Jambo la kiume wewe unatkiwa kutii
 
Back
Top Bottom