Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

Huyu Mama alikuwa tapeli, alidhulumu sana watu viwanja vyao. Wacha matapeli watapeliane.
 
Wengi ya "Waarab" ni Waislam na mirathi Kiislaam imeainishwa mpaka namna ya kugawana ndani ya Qur'an, kitabu kisicho shaka ndani yake.
Aliyekudanganya Quran hakina shaka ndani yake ni nani? Wacha kujiaminisha hadithi zisizo na mashiko kijana, soma historia ili ujuwe ukweli.
 
Upuuzi tu. Mama yao hajaenda na shule aliko sasa. Tamaa hizi.
 
Wengi ya "Waarab" ni Waislam na mirathi Kiislaam imeainishwa mpaka namna ya kugawana ndani ya Qur'an, kitabu kisicho shaka ndani yake.
Hizo ni hadithi. Migogoro kibao ya miradhi ipo ndani ya dini ya Kiislamu.
 
Migogiro ya Mirathi ndani ya familia inatokana na ukweli kwamba awali Mali hiyo ilimilikiwa na mtu ambaye hatakuwepo tena, hivyo Mali iliyoachwa inakuwa ni loose all Kila mwanafamilia ata-struggle kupata sehemu inayomfaa!! Hizo kesi hazitoisha kwa kuweka Sheria Kali zaidi ya huruma ya Mungu!
 
Huwezi endeleza kitu ambacho huwezi kitafuta kikipotea?
Sasa baba yake mtu keshatafuta na amepata kwanini mtoto aanze kutafuta badala ya kukiendeleza kilichopo? Chamsingi mtoto anapewa guidance jinsi ya kuendeleza na anafanikiwa unafikiri wahindi wanaendelezaje mali zao?
 
Waache wauane!!
 
Kwa ulichoandika hapa .. watu kama wewe huwa mnafanya usimamizi au ugawaji wa mali kuwa mgumu sana.

Unakuwa unapretend hutaki kujihusisha ilihali kwa namna yeyote wewe ni mwanafamilia ... ikitokea mwenzako/wenzako wakaamua chochote .. huwa hamkawii kuanza kulalama ...

......... wekeni mipango kama hakuna namna ya kuendeleza gawaneni kilichopo ... watu wanagawana hadi madeni ya wazee .. Au na lenyewe ungesusia?
 
Hapa ndio napenda serekali za ulaya hujaacha urithi. Mali inakuwa ya serikali , ukiacha urithi baada ya kufa mali mnagawana na serikali 50%. Njia pekee ni kumpa mtoto wako mali ukiwa hai tuu
 
Unajua hii vita naweza sema kaisababisha mama mwenyewe tukirudi kwenye historia ya hizo mali zake hazikuwa zake zilikuwa za kanisa la TAG wakati yeye akiwa mchungaji huko hizo shule zilikuwa chini ya usimamizi wa TAG na kanisa lilimuamini kama msimamizi na kulikuwa na makunaliano na shule,na kanisa lkn alichokuja kukifanya huyo mama ni utapeli mkubwa alinadili kanisa kuwa mali yake na usimamizinwa shule fungu likawa.linaenda kwake vita ilikuwa kubwa kanisa likaaamua kuachana nae tu kwamba Bwana aamue mwenyewe hyo kesi ona sasa wazungu wanasema unachokifanya kiwe kizuri au kibaya unajifanyia mwenyewe tu kwa hyo hiyo vita ya watoto kasababisha mama mwenyewe.
 
Hivi njia nzuri ya ku uhifadhi wasia ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…