kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Sijui Mimi nikoje!
Katika kuhangaika kwangu kote, sikutaka wala sitaki kutegemea kitu cha mtu yeyote! Eti sijui Mali ya baba, mama, sijui nini... Niko mbali kabisa!
Hata ukinidhulumu, ni kweli nitaumia sana, lakini at the end of the day, napotezea kabisa!
Sijui ooh! tukaye tuyazungumze, sitaki kabisa, nakuwa nimeishaondoa hiyo kitu maishani mwangu! Sitaki kabisa!
Faidika wewe Mimi nikose!
Huwa na imani Kali kwamba Yupo yule anayetupa riziki, anaona uonevu, na Yeye mwenyewe atatenda!
Huwa natafakari sana, kisha natokwa machozi!