Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi


Mama ameanza kumiliki shule kabla ya kuwa mchungaji.

Maana shule ni za zamani sana. 90s kati kati st marys zilianzishwa
 
Wakili ni Alloyce Komba? Basi mmepigwa, wakili anaandika barua kwa Waziri? Ndio utaratibu wa sheria? Sio kwa Msajili wa hati kupeleka caveat au kuripoti Polisi au kufungua shauri mahakmaa ya ardhi/mirathi?
Wakili wa vichochoroni plus mchongo[emoji23][emoji23]
 
Mama ameanza kumiliki shule kabla ya kuwa mchungaji.

Maana shule ni za zamani sana. 90s kati kati st marys zilianzishwa
St mary sio shule zake mama alikuwa mwangalizi wa hzo shule akiwa TAg akipenda sana huduma ya kutembelea wanafunzi mashuleni na wkt huo akijifunza utumishi badae ndio alianzisha za kwake hzo za kentoni high school.lkn chanzo ni baada ya TAG kupewa usimamizi wa st mary na wao.kumchagua mama rwakatare ndio na yeye akafanya yake huko
 
Hivi njia nzuri ya ku uhifadhi wasia ni ipi?

Safe Deposit Box, cabinet locker, Kwa msimamizi, sehemu za kutunza nyaraka, Wakili (hapo inabidi uwe makini sana), Benki.

Popote unapoona ni salama kwako. Muhimu kumwambia mtu mmoja unayemwamimi
 
Ni vizuri sana kuandika urithi na kuita mkutano kujulisha urithi uliotoa( isiwe siri) kama mengi baada ya kuandika urithi, angeita kila muhusika na kuwajulisha , haya yote yadingetokea. Kama kupinga urithi, wangempinga marehemu wakati yuko hai
 
TAG na mashule wapi na wapi.Tuwe kweli kama ni kipawa au karama TAG haina karama au kipawa cha mashule.

Sema tu labda mama Rwakatare alitumia tu makaratasi yao TAG kuanzisha shule kwa makubaliano fulani.Lakini kusema TAG eti ianzishe shule za hadhi ya hizo za St Mary's kuanzia majengo,quality ya Elimu nk ni uongo wa mchana kweupe .TAG hawana uwezo huo.Kwenye mashule huko uwezo hawana kabisa ni sifuri.
 
Ni kawaida ya mali za freemason kurudi kwao pindi mmiliki wake akishamaliza nao mkataba. Mali za freemason hazirithiki sababu huna mkataba nazo.Kwani za Kanumba bado zipo? Mtauza zote na pesa haikai itaisha tu na wanunuzi huwa ni member wa freemason kwa maana mali zao zina barcode kama sio member huwezi zimiliki. Barcodes inaconnect na kuzimu.
 
Kila mtoto anataka achukue chake mapema akafie mbali
 
Tatizo la familia zetu za Kitanzania ni hizi ukiwa na mali shida na ukikosa mali pia nishida haya sasa mamakafa watoto wanagombania mali hapo bado familia ndiyo inapokuwa ngumu.
 
Tibe amekuwa mtu wa matukio kitambo nilijua labda ameshakua. Kazi kweli kweli.
 
Wewe ni wa kuonewa huruma kwa kunyimwa akili, elimu, staha na busara .
Unazungumziaje kitu ambacho una zero knowledge? 🤧
Kijana, ningekuwa na zero knowledge wala nisingekuja kukupa somo. Soma upate kuelimika kijana.
 
Hivi mtu Kama yule alishindwa kuacha hata maandishi kuhusu umiliki wa Mali endapo atatangulia mbele ya haki? Au alijua ataishi milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…