Vita ya kuliua kanisa sasa rasmi imehamia katika Elimu

Vita ya kuliua kanisa sasa rasmi imehamia katika Elimu

Hapo wanajipiga kidole makalioni kisha wananusa. Hilo jimama mlitimue litawachonganisha mpaka mtashangaa. Mkenda Leo ni mtu wakujipendekeza kuhujumu Kanisa!?
 
Je kwanini target iwe Chuo cha SAUT .

Je mtaweza, ebu tusubiri ?

No time no space that will erase God's Spirit.
Weka maelezo ya kutosha ili Masheikh wa Bakwata waje kuonesha furaha waliyo nayo.
 
Imefikia huko mbona hatari kama hali ndo hiyo tunaanza kuleta figisu mpaka kwenye taasisi za elimu zilizo chini ya kanisa kisa siasa zetu uchwara? Hakika kuna mkwamo kama ndivyo​
 
Jmn wengine hatujui kinachoendelea ebu toeni maelezo nasi tuchangie
 
Back
Top Bottom