Hapo wanajipiga kidole makalioni kisha wananusa. Hilo jimama mlitimue litawachonganisha mpaka mtashangaa. Mkenda Leo ni mtu wakujipendekeza kuhujumu Kanisa!?
Imefikia huko mbona hatari kama hali ndo hiyo tunaanza kuleta figisu mpaka kwenye taasisi za elimu zilizo chini ya kanisa kisa siasa zetu uchwara? Hakika kuna mkwamo kama ndivyo