Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana kulaani tukio hilo.
Leo hii yamewapata Ulaya. Mbabe wao kavamia kipenzi chao. Eti sasa Afrika inaonesha kihelehele cha kulaani Urusi. Tanzania nayo kihelehele utadhani itatuongezea mikopo na misaada.
Huu ni ujinga wa Mwafrika. Tunachowinda ni kusifiwa na Ulaya na US. Yaani tuko kama mitoto inayosubilia kuambia unapendeza! Hatuna msimamo kama nchi. Inaonesha hata Waziri wa mambo ya nje ni boya!
Nimemuona akishindwa hata kulaani ubaguzi unaowapata waafrika huko kwenye mipaka ya Ukraine. Tanzania hatuna hata msaada wa kueleweka kwa wanafunzi wetu, just bhla!-bhla!