Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

Nawe unaleta mjadala tofauti na uelewa wetu. Mbona wanaruhusu wazungu wa Ukraine kwani ni raia wa EU? Au unadhani Ukraine ni sehemu ya EU? Muhimu wote ni wakimbizi. awe mweusi au mzungu
 
Kaka hii umepata wapi kwamba Marekani ilivamia Libya? Na wapi mataifa ya Afrika yangelalamika mbele ya Baraza la Usalama la UM???
Je, nakosa nikisema kulikuwa na Azimio la Baraza la Usalama la kusimamisha mauaji ya wananchi na jeshi la Gaddhafi??
Ona hii: "Resolution 1973 was adopted by the United Nations Security Council on 17 March 2011 in response to the First Libyan Civil War. The Security Council resolution was proposed by France, Lebanon, and the United Kingdom. The resolution formed the legal basis for military intervention in the Libyan Civil War, demanding "an immediate ceasefire" and authorizing the international community to establish a no-fly zone and to use all means necessary short of foreign occupation to protect civilians."

Je nakosa nikisema kama Gaddafi asingeendelea kushambulia wapinzani wake kwa jeshi la anga, hakuna mashabulizi?#

Halafu walioshiriki walikuwa pamoja na Uturuki, Falme za Kiarabu na Katar, Jordan...

Je nakosa nikisema si "wafuasi wa Mareklani" waliomwua Gaddafi, lakini raia wake waliochoka utawala wake wa damu? na kuuawa na jeshi lake?
 
Hapana nchi yetu haijalaani waka kusupport Russia. Kwa namna nyingine sisi kama nchi tumejiweka pembeni... waulize Kenya labda
 
Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao.

Yaani gadafi na mbwembwe zote zile alilawitiwa! Nadhani hata muunda genge la wasiojulikana hawa akina kingai at al, yangetokea maandamano ambayo yangeleta vita ya kulifukuza genge la ccm madarakani angelawitiwa pia.

Yale yaliyotokea huko Libya tunamuomba mungu yatokee kwetu ili ccm tuifurushe madarakani.
 
Ukikosea mara moja ndo excuse ya kila kosa linalofata uwe unakosea? Acha maku[emoji57][emoji57]
 

Wengi wetu hatutaonea huruma dikteta yeyote awe Libya, Uganda, Sudan au Rwanda
 
Kwa tarifa ndugu Tanzania kwenye kura za kuilan Urusi katika Vita hyo sisi hatujaegemea upande wowote.. .kiufupi hatujapiga kura upande wowote.kabla ya kuandika jiridhishe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…