Vita ya Magaidi ya Ki-islam [HAMAS] Imenitufunza.

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA.

Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio WARABU, ISAKA kupitia ESAU NA YAKOBO, KWA YAKOBO NDIO WAISRAELI, lakini pia waisraeli WALIOZALIWA na YUDA BENJAMINI NA LAWI ndio huitwa WAYAHUDI.

WAISRAEL walibakia na ibada Yao ya JUDAISM wanaoabudu SABATO ya SIKU ya jumamosi, waishimail waisilamu wanaoabudu SIKU ya IJUMAA, na wakristo wamebaki na ibada Yao ya SIKU ya jumapili.

Wapalestina ndio walioitwa wafilisiti, ambao hawako KATIKA uzao w IBRAHIMU, Kuna waedom WALIOZALIWA na ESAU. nduguye Israel, Kuna uzao wa lutu, nduguye IBRAHIMU, n.k .n.k

DINI ZOTE HIZI TATU ZINATAWALA DUNIA NI ZA KUTOKA KWA UZAO Wa IBRAHIMU yaani JUDAISM, UKRISTO NA UISLAM, swali tata ninalojiuliza, KWA NINI WATOFAUTIANE WAKATI WOTE NI IBRAHIMU?
 
Kwa sababu ilishatamkwa na Mungu.
 
Wapi HAMAS wamejitambulisha au kutambulishwa kama magaidi wa kidini?
 
Ndio, Hamas ni kundi la kisiasa na la kivita la Kiislamu lenye mizizi yake katika vuguvugu la upinzani la Kiislamu.

Kila wanapoua roho ya mtu humuita ALAH AKHBAR! wewe unataka kusema wanamuita Yesu?

Ilianzishwa mwaka 1987 wakati wa Intifadha ya Kwanza dhidi ya utawala wa Israel katika maeneo ya Wapalestina.

Hamas inajieleza kama harakati ya ukombozi wa taifa la Palestina na upinzani yenye utambulisho wa Kiislamu.

Hata hivyo, maoni juu ya kundi hili la kislamu la kigaidi yanaweza kutofautiana, na nchi tofauti na vyombo vinaweza kuteua Hamas tofauti kulingana na mitazamo na sera zao.
 
Ungeweka source badala ya porojo
 
Kama magaidi wengine wowote
Kuna magaidi wa :
1. Kibudha?
2. Hindu.
3.Rumi?
4. Lokoole?

Kama wapo, naomba link wana JF tujifunze.
Maana the rest of the religion kiongozi wao wanamuita Yesu aliwaambia ukipigwa shavu la kushoto mpe na la kulia .
Ukiombwa kumsindikiza mtu maili moja msindikize mbili.
Ukiombwa msamaha mara moja samehe mara saba sabini.
 
Tuko kweye ndege ndugu mleta mada, ndio kitu ulichiongelea
Vyote vyombo, unafikri technologia ya kufanya mashua ama meli ielee ni rahisi, waambie TEMEESA kuhusu kivuko pale ferry dar es salaam kwanini wanahangaika.
kama ni rahisi tengeneza,
 
Dooh bas yaishsie hapa mkuu, nilikua najua una hoja kumbe viroja kuhusu huu uzi wako.
 
Ibrahimu baba wa imani, alikuwa na jumla ya watoto (8).

1) Mwana wake wa kwanza(1) aliitwa Ishmaeli: Huyu alikuwa ni mwana wa kijakazi wa mke wake, aliyeitwa Hajiri. Ishmaeli alipatakana, kwasababu ya Sara kukosa mtoto kwa muda mrefu, hivyo akaona ili amstahi mume wake, akamruhusu akamruhusu kijakazi wake alale na mumewe, ampatie uzao. Ndipo akazaliwa Ishameli. (Mwanzo 16:1-4),

Mwana wa pili(2) aliitwa Isaka. Huyu ndiye aliyekuwa mwana wa Ahadi, ambaye Mungu alimwahidia Ibrahimu kuwa atakuwa urithi wake. Yeye ndiye aliyekuja kuzaliwa na Sara, miaka 14 baadaye baada ya Ishmaeli.

Mwanzo 21: 1 -3

Wana wengine sita (6) waliosalia: Walikuwa ni wa mwanamke aliyeitwa Ketura, Huyu alikuja kuolewa na Ibrahimu baada ya Sara kufa.

Mwanzo 25: 1 “Ibrahimu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura. 2 Akamzalia Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua. 3 Yokshani akamzaa Sheba, na Dedani; na wana wa Dedani walikuwa Waashuri na Waletushi, na Waleumi”.
Hii nimeikopi sehemu
 
Waebrania ni kabila lilikuwepo Uru ya Ukaldayo(eneo la Iraq ya leo),kwa hiyo yeye aliondoka na kuliacha kabila lake,na ndio maana Israel lugha ya Taifa no 1 ni Kiebrania,ya pili Kiarabu,pia kuna lugha za kigeni kama Kiingereza na Kirusi
 
Kuna magaidi wa :
1. Kibudha?
2. Hindu.
3.Rumi?
4. Lokoole?

Kama wapo, naomba link wana JF tujifunze.
Maana the rest of the religion kiongozi wao wanamuita Yesu aliwaambia ukipigwa shavu la kushoto mpe na la kulia .
Ukiombwa kumsindikiza mtu maili moja msindikize mbili.
Ukiombwa msamaha mara moja samehe mara saba sabini.
Hahahhaha magaidi wote suruali fupi na makobazi
 
Back
Top Bottom