K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Kwa kweli imani ya kiislamu imechangia machafuko duniani kuliko imani zilizosalia kama Uyahudi, Ukristo, Uhindu, Ubudha n.k.Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA.
Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio WARABU, ISAKA kupitia ESAU NA YAKOBO, KWA YAKOBO NDIO WAISRAELI, lakini pia waisraeli WALIOZALIWA na YUDA BENJAMINI NA LAWI ndio huitwa WAYAHUDI.
WAISRAEL walibakia na ibada Yao ya JUDAISM wanaoabudu SABATO ya SIKU ya jumamosi, waishimail waisilamu wanaoabudu SIKU ya IJUMAA, na wakristo wamebaki na ibada Yao ya SIKU ya jumapili.
Wapalestina ndio walioitwa wafilisiti, ambao hawako KATIKA uzao w IBRAHIMU, Kuna waedom WALIOZALIWA na ESAU. nduguye Israel, Kuna uzao wa lutu, nduguye IBRAHIMU, n.k .n.k
DINI ZOTE HIZI TATU ZINATAWALA DUNIA NI ZA KUTOKA KWA UZAO Wa IBRAHIMU yaani JUDAISM, UKRISTO NA UISLAM, swali tata ninalojiuliza, KWA NINI WATOFAUTIANE WAKATI WOTE NI IBRAHIMU?
Tatizo kubwa la hao kutofautiana ni lengo/kusudi la kuzaliwa kwa baba zao (Ishimael, Isaka n.k).
Ukiangalia kila mmoja hapo kuna kitu cha tofauti kiliachiliwa juu yake baada ya kuzaliwa chenye nia na makusudi tofauti ya KIMUNGU.
Tofauti hizo zilichangia kuibuka kwa uadui baina yao wanandugu hao kulikopelekea kila mmoja kuwa na imani yake ya jinsi ya kumuabubu mungu/MUNGU wao.