Vita ya NATO na URUSI itakuwa ni ya kubadilishana nuclear na sio vita ya risasi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Urusi na Marekani zote zinamilija ASAT hizi ni siraha za kuweza kushusha aridhini Satelite zilizoko kwenye Obiti. Hii ni moja ya jambo ambali hakuna mtu anataka litokee.

Vira itakuwa nu ya kubadilishana Vichwa vya nuclea and this time vichwa viatatua New York,Moscow,London, Washington, Berini, Parisi na kwingineko.

Sasa fikiria Nuclear mojaina hit Targer London, it means ndio mwisho wa London, au Kitu kina hit Moscow maana yake ndio mwisho wa Moscow.

Pale New yourk inapigwa nuclear moja maana yake ndio mwisho wa New york.

Kumbuka ile ajari ya Nuclea kule Chenoby Ukrine, hadi leo hii ile eneo watu wanaenda wakiwa na mavazi maalumu ya kijikinga na mionzi.

Sasapiga Picha kwenye hio miji.

Vifaru, na zile aircraft carrier hazitakuwa na kazi kwenye full War.

Si Marekani, wala Urusi wala hao Ulaya ambao watataka vita ipiganwe kwenye aridhi zao kwa mara ta kwanza tangu baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.

Pia kumbuka hakuna Ndege ya abiria itaruka zote zitakuwa grounded.

Kwa kifupi itakuwa ndio mwisho wa human civilizations.

Tuache ushabiki Mandazi.
 
All agree that there is no winner in nuclear war.
 
Watu huwa wanaropoka tu hawajui balaa la Nuclear wanafikiri ni sawa kutype tu kwenye keyboard
 
kama ni hivyo,lengo la kumiliki hizo silaha ni lipi?,au kwanini wanaendelea kumiliki silaha hatari za namna hiyo?
 
All agree that there is no winner in nuclear war.
Yawezekana hao Wazee muda wa kuondoka Duniani umewadia. So, wanataka tuondoke wote. Tunamwomba Mungu awape adhabu kali wanayostahili kwa kuwa wanapingana na kusudio la Mungu la kumleta mwanadamu Duniani.
 
Hiyo vita ianze tu.makomando wetu wataenda kutuliza Kwa kuwachapa ngumi za kutosha
 
Hayo mabomu yamekuwa yakitengenezwa tangu miaka ya arobaini mnadhani hautatumika? Au mnataka yatumike lini? Yaani kizazi kilichoyatengeneza Kiachwe salama na baadae yatumike kwenye vizazi ambavyo havikuyatengeneza? Kwakuwa waswahili husema Mchuma janga hula na wa kwao basi hili tutalinywa na uzuri watabamizana wenyewe huko sisi ila wao watakufa kama ule wakati wa bubonic plague.
Yaani kama wasomi wazima wanaona nuklia ndilo suluhisho mnadhani sisi tutafanyaje? Sisi huku hatuna mchango wowote yaani tutake au tusitake wabonyeza vitufe watabonyeza
 
Urusi na Marekani zote zinamilija ASAT hizi ni siraha za kuweza kushusha aridhini Satelite zilizoko kwenye Obiti. Hii ni moja ya jambo ambali hakuna mtu anataka litokee.

Vira itakuwa nu ya kubadilishana Vichwa vya nuclea and this time vichwa viatatua New York,Moscow,London, Washington, Berini, Parisi na kwingineko.

Sasa fikiria Nuclear mojaina hit Targer London, it means ndio mwisho wa London, au Kitu kina hit Moscow maana yake ndio mwisho wa Moscow.

Pale New yourk inapigwa nuclear moja maana yake ndio mwisho wa New york.

Kumbuka ile ajari ya Nuclea kule Chenoby Ukrine, hadi leo hii ile eneo watu wanaenda wakiwa na mavazi maalumu ya kijikinga na mionzi.

Sasapiga Picha kwenye hio miji.

Vifaru, na zile aircraft carrier hazitakuwa na kazi kwenye full War.

Si Marekani, wala Urusi wala hao Ulaya ambao watataka vita ipiganwe kwenye aridhi zao kwa mara ta kwanza tangu baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.

Pia kumbuka hakuna Ndege ya abiria itaruka zote zitakuwa grounded.

Kwa kifupi itakuwa ndio mwisho wa human civilizations.

Tuache ushabiki Mandazi.
Zipigwe tu, fasta
 
Back
Top Bottom