Vita ya siku sita kati ya Rwanda na Uganda

Vita ya manyang'au kugombea ngawira. Rwanda ilishinda kugombea mzoga kutokana na Uganda kusita kwa soni kwa kile kilichokua kinatokea huku Rwanda ikiwararua na kutokomea na mzoga kama desturi ya nyang'au.
 
Eti Rwanda walishinda, ndio maana Tanzania wanawaogopa sana hawa jamaa, kainchi kadogo lakini mkwara kibao. Ni kama tu Israel inavyo ogopwa na mataifa makubwa.

mmekuwa waoga wa alshabab kiasi hata ukiona kaplastic bag kwa matatu unahisi kujinyea.ha ha ha
 
Acha uongo wewe, FIB ilikua kwenye makaratasi tu lakini on the ground JWTZ ndio iliyofanya kazi, Majeshi ya S.A yalikua kwenye upande wa "AIR FORCES" na kazi yao kubwa ilikua ku-block any military back up itakayotoka upande wa Rwanda, na cha ajabu wali-block mara moja tu. Waliokuwa on the ground walikua ni watoto wa Mwamunyange waliozichapa mwanzo mwisho.

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini juzi JWTZ ilipokuwa inaondoa majeshi yake pale Congo waCongomani walilia siku nzima huku wakifunga barabara zote kuwazuia JWTZ wasiondoke, mpaka walipoambiwa kuwa sio kuondoka ila ni kubadilishana tu vikosi, na walipokomaa hawafungui barabara mpaka wajue hao wanaokuja wengine ni JWTZ kama walioondoka wakaambiwa ni kweli wanakuja JWTZ ndio wakafungua njia...

Chezeya hii mitoto ya Mwamunyange wewe, keep in mind ALL EAST AFRICAN AREAS ni play GROUND tu ya JWTZ hakuna wa kuwazuia kufanya lolote wakiamua
 
Halafu M23 ilikua imejaa watoto wadogo waliokua wamelazimishwa kupigana. Rwanda nayo haikuruhusiwa kupigana, Umoja wa Mataifa uliwazuia. Isitoshe, hawa watoto wa M23 mliwapiga kwa majeshi tokea nchi kadhaa, Afrika Kusini ikiwemo.

Mi nadhani kuna ripoti 1 ya umoja wa mataifa ilikua ina walaani Al shabab kuwa wanawatumia watoto kama wanajeshi..
 
Mkuu asigwa ulijiunga JF 21 Sept 2011 una post 6,699 labda nikuambie jambo moja ambalo ulikuwa hulijui hii ndio post yako bora kuliko nyingine zote.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu lawmaina78 hivi kweli Rwanda atauweza mziki wa TPDF ?.Tukituma brigade moja nina uhakika itafika mpaka wa Congo ndani ya siku mbili.

Kwa taarifa yako mkuu, ushindi wa vita hautokani tu na wingi wa jeshi, au ubora wa vifaa, bali ushujaa na uzalendo wa wapiganaji. Taswira iliopo sasa ninyi ndio mnawachokonoa Warwanda, vikazuka vita, wale watapigana sana kiuzalendo na hadi wa mwisho na mtaumia sana. Jeshi lao linaogopwa hadi hata na mijitu ya Congo. Hata Waganda na Museveni hawawezi jimudu. Kama alivyozingua Hitler kwenye vita vya pili vya dunia, jeshi lake lilipigana sana kiuzalendo tofauti na vifaa.

Ikumbukwe kuwa JWTZ hawajapigana vita wenyewe kama jeshi, historia ya Kagera inatueleza jinsi Watanzania walitoka wote kwenda kupigana, yaani JWTZ, Polisi vitengo vyote, wanamgambo, wanavijiji, hata waasi wa Kiganda wengi maana vita vilikua vyao. Na iliwagharimu Wabongo sana kiuchumi hadi panya vijijini walijua njaa ni nini, hadi Museveni amewalipa tu hivi majuzi. Kipindi kile Watanzania walikua wazalendo chini ya mwalimu Nyerere na ilikua rahisi kuwahusisha kwenye vita. Tofauti na leo wametajika kwenye ufisadi wa kila aina ikiwemo akaunti za banki Uswizi, mateja na wanyama mbugani, wapo kimaslahi zaidi. Raia wa aina hiyo huwezi shinda vita vyovyote nao.

Juzi pia JWTZ wamejihusisha kwenye vita na watoto wa M23. Ieleweke pia hapa hawakupigana vita wenyewe, Congo ilihusika pakubwa maana vita vilikua vyao pia, Afrika Kusini na Wamalawi hawakuchelewa kuhusika. Rwanda nayo ikapigwa mkwara na Umoja wa Mataifa hadi haikuwasaidia hao vijana. Na zaidi, M23 waliwahusisha watoto tokea vijijini vitani na kwa lazima.

Kwa ushauri wangu, na uendelevu wa nchi yenu kiuchumi, wacheni hizi chokochoko zenu dhidi ya Warwanda maana mtaumia sana. Pia kuna kipindi niliskia fununu kuwa wapo raia wenye asili za Kirwanda kwenye nyanja nyingi serikalini mwenu, na ikatokea kuzuka sijui vipi uzalendo wao watauelekeza wapi. Kagame ni mjanja sana na naskia aliwahi ishi Tanzania na hata kusomea kijeshi huko, hivyo anawajua sana ninyi zaidi ya mnavyojifahamu.
 

Uchumi wetu umesimama. Kwenu njaa tu. mpaka mfanye udalali kwa wazungu eti come kenya to see mount kilimanjaro(Not to climb mount kilimanjaro)........ehehehhe
Al shabab mbona wanawatikisa? wewe una uzalendo gani unabaki kusifia nchi jirani. wakati street za Nairobi chokolaa wanazidi kuongezeka tu. Mbona unakatalia bongo hutaki kurudi kwenu kenya? mnafiki mkubwa wewe. unafikiri kagame atakusaidia??? sahau. Yeye anawainua watusi tu. hata ukijipendekeza vipi.
 

Mwenzio kauliza swali kama Rwanda wanaweza muziki wa TPDF, afu nikajibu kulingana na uelewa wangu, wewe umeibuka na matusi kuhusu chokora, aidha utakua wewe ni admin maana huchukuliwi hatua ukitusi. Wacha kuwa personal, humu ndani JF sisi watani tu.
 
My avatar's smile fills my face, you are very diplomatic!
Mwenzio kauliza swali kama Rwanda wanaweza muziki wa TPDF, afu nikajibu kulingana na uelewa wangu, wewe umeibuka na matusi kuhusu chokora, aidha utakua wewe ni admin maana huchukuliwi hatua ukitusi. Wacha kuwa personal, humu ndani JF sisi watani tu.
 

Mi ni binti nnayeipenda Tanzania yangu. Na wote wenye mapenzi mema na nchi yangu. Nami naamini watanzania wenzangu wako hivyo; hatujazoea wala hatujawahi kuwa wakimbizi. Namshukuru Mungu ibara ya 27 na 28 zinazuia mtanzania yeyote kukubali kushindwa vita; wakati huo hana mamlaka kunikataza kupigana na adui wa Tanzania yangu.
 

mkuu,ni kweli TZ ndo imewachokoza wa Rwanda.?
hiv hizi chuki zenu dhid ya Tz znasababishwa na nini haswaa.?
yaani Tz hata akiibiwa we unasema ameiba,chuki iliyoje hii..

mnaichukia TZ zaid ya Alshabab sijui kwann.?
 
Mwenzio kauliza swali kama Rwanda wanaweza muziki wa TPDF, afu nikajibu kulingana na uelewa wangu, wewe umeibuka na matusi kuhusu chokora, aidha utakua wewe ni admin maana huchukuliwi hatua ukitusi. Wacha kuwa personal, humu ndani JF sisi watani tu.

Chuki zako dhidi ya Tanzania ndo zinazokuponza. Kila baya unalitupa kwa TZ. Alafu unasema sisi watani. utani gani wakututangaza mabaya tuuuu?
Kwani Chokolaa kenya hawapo? wanatembea na vinyesi mkononi akikuomba pesa ukimnyima anakurushia kinyesi.
 
Ile ilikuwa si vita!
Ilikuwa mapambano ya majambazi waliokuwa wakipora mali na madini ya Congo.
Vita unapigana kutetea nchi, ujambazi unapigana usife na upate malu.
 
Mbona waandikia mate mkuu?
Seke seke la jeshi lenu la M23 si mmeipata, wataka nini tena?
Ukitaka muziki wa uhakika, geukia upande wa Rusumo maana umesha hakikishiwa WaTz huwa hatushii mpakani.
 

Hivi wewe unadhani Rwanda wako pamoja?Rwanda haipo pamoja watu wanaishi kwa uoga tu pale. Vita ikianza utaona wanaibuka wanyarwanda watakaoiunga mkono wapinzani wapiganao na nchi yao.Mfano wa jambo kama hilo vita vya Kagera Tanzania waliweza kumfurumusha Iddi Amin kwa kuwa kulikuwa na wapinzani wake waliokuwa bega kwa bega na JWTZ kama Museveni,Lule.Mfano mwingine Iraq wamerekani walipata sapoti kutoka vikundi vya wanamgambo wa Kishia na Kikurd haswa vita vya chini ya ardhi.
 
mkuu,ni kweli TZ ndo imewachokoza wa Rwanda.?
hiv hizi chuki zenu dhid ya Tz znasababishwa na nini haswaa.?
yaani Tz hata akiibiwa we unasema ameiba,chuki iliyoje hii..

mnaichukia TZ zaid ya Alshabab sijui kwann.?

Ndio zenu hizo, kila mkiambiwa ukweli mnakimbilia neno chuki. Sijaona humu JF Mrwanda yeyote anawatusi Watz lakini kila siku nyie mnaongea jinsi ya kuwapiga Rwanda. Rais Kagame na rais Kikwete wana tofauti zao za kisiasa na haimanishi hata nyie mjiingize kwenye muziki msioelewa unachezwa vipi. Wao ni marafiki ila wana tofauti tu za kisiasa.
 
We bwe-ge kweli. tusijiingize kwenye muziki wakati rais wetu ndo sisi? kweli nyie wa kenya hamna uzalendo. Ndo maana al shabab wanawatandika, badala ya kuwa na msimamo mmoja nyie mnaanza kushikana uchawi eti mara ni laila.......
Nyie ni malofa tu. Sisi huyu kagame tunammaindi sana. Alisema ata m hit, lakini si kwa ujanja wetu tusha muumiza kupitia congo. Sasa hivi kanywea anatafuta gia ya kuja kuomba samahani........... Chezea watoto wa nyerere wewe?
 

Kagame anajua ukweli kuwa nchi yake hawako wa moja na hilo halitatuliwi na vita ni majidiliano tu na kuombana msamaha wajenge nchi yao.Massacre ngapi zilitokea SA lakini waliweza kuunda Tume ya maridhiano na kusamehana nchi yao inasonga mbele.
 
Tukumbushane..

Kwahiyo Sahivi Wakenye Mnawachokoza wa Rwanda.?
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…