Vita ya siku sita kati ya Rwanda na Uganda

Tukumbushane..

Kwahiyo Sahivi Wakenye Mnawachokoza wa Rwanda.?
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

Hakuna aliyewaingilia Warwanda kwenye nchi yao, hapo ndio hatari, tujifunze na kilichowakuta Urusi kwa kuthubutu kuparamia kainchi kadogo Ukraine, kwa kifupi usimvamie mtu kwenye nchi yake kama huna ubavu wa kuvumilia mapigo.
 
sasa mnalolifanya nyie sasa hivi na tulilolifanya sisi awamu ya nne kuna tofauti gani?
ikumbukwe kipindi kile ulikuwa unapinga sasa hivi vipi unaunga mkono nchi yako kutuma jeshi Congo?
 
Wacha kudakia treni kwa mbele bila kujua inakwenda wapi, tumia muda wako kusoma michango ya wote....
Nyie kipindi kile mlisukumwa na mihemko dhidi ya Kagame na Wanyarwanda, mlikua na ugomvi wenu naye, ila sisi tumejikita kwenye kuhakikisha usalama ndani ya DRC ili tukafanye biashara pale.

Na ndio maana tulianza kwa kuomba mazungumzo na waasi wote, tutafute namna ya kutatua bila kuendeshwa na chuki chuki na majungu.
 
Mazungumzo??
Wakati huo huo mnawapiga!!
 
Halafu M23 ilikua imejaa watoto wadogo waliokua wamelazimishwa kupigana. Rwanda nayo haikuruhusiwa kupigana, Umoja wa Mataifa uliwazuia. Isitoshe, hawa watoto wa M23 mliwapiga kwa majeshi tokea nchi kadhaa, Afrika Kusini ikiwemo.
Ila Kenya huko imepigwa na m23
 
Back
Top Bottom