Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

1. Andorra
Andorra

Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 .

Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi.

Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio wamekizunguka kinchi hiki pande zote.

2. Aruba
Aruba

Nchi hii ilijipatia uhuru wake mwaka 1990. Kisiwa cha Aruba kiko kwenye bahari ya Karibean ( Caribbean Sea) na tangu mwaka 1986, ilijitenga kutoka kwenye Ufalme wa Uholanzi (Kingdom of the Netherlands) na kwa miaka ya karibuni kisiwa hiki kimekuwa maarufu sana kwa biashara ya utalii.

Ulinzi wa kisiwa hiki chenye watu takriban 116,000 ni jukumu la Uholanzi.
Idara ya usalama ya nchi jukumu lake ni kupambana na uhalifu na matishio ya ugaidi.

3. Cayman Islands
cayman islands

Idadi kubwa ya watu wa nchi hii wanaishi Grand Cayman, kisiwa kilicho kikubwa zaidi kati ya visiwa vitatu vinavyounda taifa hili.

The Cayman Islands ni miongoni mwa kundi la visiwa vilivyopo kweye bahari ya Caribbean vinavyoilikiwa na Malkia wa Uingereza kupitia British Overseas Territories.

Hivyo basi ulinzi wa visiwa hivi vilivyoko maili 150 kusini mwa Cuba ni jukumu la Uingereza.
Cayman Islands wana polisi wanaifanya kaziza ulizi wa raia na mali ambao wanajulikana kwa jina Royal Cayman Islands Police Force.

4. Cook Islands
cook islands
Hadi kufikia July 2018, Cook Islands ilijuwa na idadi ya watu wasiozidi 9,038.

Visiwa hivi vya The Cook Islands, vilipewa jina hilo kwa heshima ya Captain James Cook, ni visiwa vilivyoko kusii ya Pacific. Visiwa hivi viko huru ila vinashirikiana na New Zealand.
Hivyo basi New Zealand ndio inawajibika na swala zima la ulinzi wa visiwa vya Cook Islands.

5. Costa Rica
Costa Rica

Hakujawahi kuwa na jeshi la nchi nchini Costa Rica [emoji1080] tangu mwaka 1949. Jukumu la ulinzi linafanywa na jeshi la Polisi wa nchi hiyo.

Nchi hii ambayo pia inajulikana kwa jina bandia la "Switzerland of Central America", ilitangaza rasmi mwaka 1983 kwamba ni nchi isiyohitaji nguvu za kijeshi kujilida.
Tangu hapo USA ikatangaza rasmi kwamba ulinzi wa Costa Rica ni jukumu lake.

6. Curacao
Willemstad, Curacao

Curacao ni moja kati ya nchi nne ambazo kikatiba ni milki ya Ufalme wa Uholanzi.

Curacao ni kisiwa kilichopo Caribbean Sea ambacho hakina vikosi vya jeshi.

Jukumu la ulinzi wa eneo hili la kisiwa lenye maili za mraba 171 na idadi ya watu 150,000 liko chini ya majeshi ya Uholanzi.

Kwenye vuguvugu la mabadiliko ya kiuongozi, mwaka 2009, watu wa Curacao walipiga kura ya kutaka kujitawala ndani ya mipaka ya Uholanzi. Kikosi cha kijeshi cha The Dutch Caribbean Coast Guard (DCCG) kinalinda mipaka ya kisiwa hiki.

7. Dominica
Dominica

Dominica ilikuwa ni nchi ya mwisho kabisa kati ya nchi za visiwa vya Caribbean kutawaliwa na mataifa ya Ulaya.

Dominica ni kisiwa katika Lesser Antilles Mashariki mwa Pacific na ni mwanachama wa jumuia ya madola.
Dominica ina kikosi cha polisi kiitwacho Commonwealth of Dominica Police Force. Ulinzi wa mipaka ya kisiwa cha Dominica ni jukumu la serikali ya Uingereza.

8. Faroe Islands
Faroe Islands waterfall

Visiwa hivi viko barani Ulaya lakini si mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya.
Visowa vya Faroe viko North Atlantic kati ya
British Isles, Norway, na Iceland, Faroe Islands ina jumla ya wakazi 51,000 .
Hawana jeshi la kawaida, lakini serikali ya Danish inawajibika kukilinda kisiwa hiki kupitia kikosi chake cha The Arctic Command, ambacho ni kikosi cha jeshi la Denmark.

9. French Polynesia​

Raiatea Island, French Polynesia

French Polynesia iko kusini mwa bahari ya Pacific na inajumuisha visiwa vingi vikubwa na vidogo. Tahiti ndicho kisiwa maarufu zaidi kuliko visiwa vingine. Kwa ujumla French Polynesia ina jumla ya wakazi 290,000 , na haina jeshi la ulinzi na jukumu la kulinda mipaka ya nchi hii linafanywa na serikali ya Ufaransa .

10. Greenland​

FILE PHOTO: Snow covered mountains rise above the harbour and town of Tasiilaq, Greenland, June 15, 2018. REUTERS/Lucas Jackson/File Photo
Greenland ilijitoa kwenye jumuiya ya nchi za Ulaya mwaka 1985 kutokana na kutokubaliana na mikataba ya uvuvi.

Greenland ndio kisiwa kikubwa zaidi duniani na kijografia iko Marekani kaskazini lakini kiutawala ni sehemu ya Denmark.

Mwaka 2008, Greenland ilipiga kura ya kupewa nguvu zaidi ya kujitawala kwenye mambo yake ya ndani.

Mwaka 2009, Greenland ilipitisha sheria ya serikali huru, ikiwatambua raia wake kama watu huru wenye haki za kutambulika kimataifa.
Hata hivyo bado Denmark inaendelea kuitawala kisera na kieneo na kifedha, pia Denmark ndio mratibu wa sera za nje za Greenland.

Jukumu la ulinzi wa kisiwa hiki uko chini ya Denmark mpaka leo.

11. Grenada​

Grenada

Christopher Columbus alikigundua kisiwq hiki mnamo mwaka 1498.
Grenada ni kisiwa kinachopatikana kaskazini ya Lesser Antilles kwenye bahari ya Caribbean.

Tangu kisiwa hiki kilipovamiwa mwaka1983 na [emoji631] USA, Grenada haijawahi kuwa na jeshi tena.

Licha ya kwamba wana kikosi cha polisi The Royal Grenada Police Force, ulinzi wa mipaka ya kisiwa hiki ni jukumu la serikali ya Marekani.

12. Iceland​

iceland waterfall

Licha ya kwamba Iceland ni mwanachama wa umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya NATO, nchi hii haina vikosi vya jesh.

NATO ndio ina jukumu la ulinzi wa nchi hii.

13. Kiribati​

Kiribati Aerial
Kiribati, ilijiunga na UN 1999, na kuanzia imejiynga na Umoja wa Mataifa imekuwa mstari wa mbele katika kupambana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi.

Kisiwa cha Kiribati, kilijipatia uhuru wake mnamo mwaka 1979, Kiribati [emoji1140] inapatikana kwenye bahari ya Pacific na ina wakazi wapatao 109,000.

Kiribati, ambayo zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la The Gilbert Islands, haina jeshi la ulinzi kwa mujibu wa katiba yao, licha ya kwamba waalo jeshi la polisi.
Nchi 19 ziko wapi? Maana ulisema nchi 31.
 
1. Andorra
Andorra

Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 .

Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi.

Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio wamekizunguka kinchi hiki pande zote.

2. Aruba
Aruba

Nchi hii ilijipatia uhuru wake mwaka 1990. Kisiwa cha Aruba kiko kwenye bahari ya Karibean ( Caribbean Sea) na tangu mwaka 1986, ilijitenga kutoka kwenye Ufalme wa Uholanzi (Kingdom of the Netherlands) na kwa miaka ya karibuni kisiwa hiki kimekuwa maarufu sana kwa biashara ya utalii.

Ulinzi wa kisiwa hiki chenye watu takriban 116,000 ni jukumu la Uholanzi.
Idara ya usalama ya nchi jukumu lake ni kupambana na uhalifu na matishio ya ugaidi.

3. Cayman Islands
cayman islands

Idadi kubwa ya watu wa nchi hii wanaishi Grand Cayman, kisiwa kilicho kikubwa zaidi kati ya visiwa vitatu vinavyounda taifa hili.

The Cayman Islands ni miongoni mwa kundi la visiwa vilivyopo kweye bahari ya Caribbean vinavyoilikiwa na Malkia wa Uingereza kupitia British Overseas Territories.

Hivyo basi ulinzi wa visiwa hivi vilivyoko maili 150 kusini mwa Cuba ni jukumu la Uingereza.
Cayman Islands wana polisi wanaifanya kaziza ulizi wa raia na mali ambao wanajulikana kwa jina Royal Cayman Islands Police Force.

4. Cook Islands
cook islands
Hadi kufikia July 2018, Cook Islands ilijuwa na idadi ya watu wasiozidi 9,038.

Visiwa hivi vya The Cook Islands, vilipewa jina hilo kwa heshima ya Captain James Cook, ni visiwa vilivyoko kusii ya Pacific. Visiwa hivi viko huru ila vinashirikiana na New Zealand.
Hivyo basi New Zealand ndio inawajibika na swala zima la ulinzi wa visiwa vya Cook Islands.

5. Costa Rica
Costa Rica

Hakujawahi kuwa na jeshi la nchi nchini Costa Rica 🇨🇷 tangu mwaka 1949. Jukumu la ulinzi linafanywa na jeshi la Polisi wa nchi hiyo.

Nchi hii ambayo pia inajulikana kwa jina bandia la "Switzerland of Central America", ilitangaza rasmi mwaka 1983 kwamba ni nchi isiyohitaji nguvu za kijeshi kujilida.
Tangu hapo USA ikatangaza rasmi kwamba ulinzi wa Costa Rica ni jukumu lake.

6. Curacao
Willemstad, Curacao

Curacao ni moja kati ya nchi nne ambazo kikatiba ni milki ya Ufalme wa Uholanzi.

Curacao ni kisiwa kilichopo Caribbean Sea ambacho hakina vikosi vya jeshi.

Jukumu la ulinzi wa eneo hili la kisiwa lenye maili za mraba 171 na idadi ya watu 150,000 liko chini ya majeshi ya Uholanzi.

Kwenye vuguvugu la mabadiliko ya kiuongozi, mwaka 2009, watu wa Curacao walipiga kura ya kutaka kujitawala ndani ya mipaka ya Uholanzi. Kikosi cha kijeshi cha The Dutch Caribbean Coast Guard (DCCG) kinalinda mipaka ya kisiwa hiki.

7. Dominica
Dominica

Dominica ilikuwa ni nchi ya mwisho kabisa kati ya nchi za visiwa vya Caribbean kutawaliwa na mataifa ya Ulaya.

Dominica ni kisiwa katika Lesser Antilles Mashariki mwa Pacific na ni mwanachama wa jumuia ya madola.
Dominica ina kikosi cha polisi kiitwacho Commonwealth of Dominica Police Force. Ulinzi wa mipaka ya kisiwa cha Dominica ni jukumu la serikali ya Uingereza.

8. Faroe Islands
Faroe Islands waterfall

Visiwa hivi viko barani Ulaya lakini si mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya.
Visowa vya Faroe viko North Atlantic kati ya
British Isles, Norway, na Iceland, Faroe Islands ina jumla ya wakazi 51,000 .
Hawana jeshi la kawaida, lakini serikali ya Danish inawajibika kukilinda kisiwa hiki kupitia kikosi chake cha The Arctic Command, ambacho ni kikosi cha jeshi la Denmark.

9. French Polynesia​

Raiatea Island, French Polynesia

French Polynesia iko kusini mwa bahari ya Pacific na inajumuisha visiwa vingi vikubwa na vidogo. Tahiti ndicho kisiwa maarufu zaidi kuliko visiwa vingine. Kwa ujumla French Polynesia ina jumla ya wakazi 290,000 , na haina jeshi la ulinzi na jukumu la kulinda mipaka ya nchi hii linafanywa na serikali ya Ufaransa .

10. Greenland​

FILE PHOTO: Snow covered mountains rise above the harbour and town of Tasiilaq, Greenland, June 15, 2018. REUTERS/Lucas Jackson/File Photo
Greenland ilijitoa kwenye jumuiya ya nchi za Ulaya mwaka 1985 kutokana na kutokubaliana na mikataba ya uvuvi.

Greenland ndio kisiwa kikubwa zaidi duniani na kijografia iko Marekani kaskazini lakini kiutawala ni sehemu ya Denmark.

Mwaka 2008, Greenland ilipiga kura ya kupewa nguvu zaidi ya kujitawala kwenye mambo yake ya ndani.

Mwaka 2009, Greenland ilipitisha sheria ya serikali huru, ikiwatambua raia wake kama watu huru wenye haki za kutambulika kimataifa.
Hata hivyo bado Denmark inaendelea kuitawala kisera na kieneo na kifedha, pia Denmark ndio mratibu wa sera za nje za Greenland.

Jukumu la ulinzi wa kisiwa hiki uko chini ya Denmark mpaka leo.

11. Grenada​

Grenada

Christopher Columbus alikigundua kisiwq hiki mnamo mwaka 1498.
Grenada ni kisiwa kinachopatikana kaskazini ya Lesser Antilles kwenye bahari ya Caribbean.

Tangu kisiwa hiki kilipovamiwa mwaka1983 na 🇺🇸 USA, Grenada haijawahi kuwa na jeshi tena.

Licha ya kwamba wana kikosi cha polisi The Royal Grenada Police Force, ulinzi wa mipaka ya kisiwa hiki ni jukumu la serikali ya Marekani.

12. Iceland​

iceland waterfall

Licha ya kwamba Iceland ni mwanachama wa umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya NATO, nchi hii haina vikosi vya jesh.

NATO ndio ina jukumu la ulinzi wa nchi hii.

13. Kiribati​

Kiribati Aerial
Kiribati, ilijiunga na UN 1999, na kuanzia imejiynga na Umoja wa Mataifa imekuwa mstari wa mbele katika kupambana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi.

Kisiwa cha Kiribati, kilijipatia uhuru wake mnamo mwaka 1979, Kiribati 🇰🇮 inapatikana kwenye bahari ya Pacific na ina wakazi wapatao 109,000.

Kiribati, ambayo zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la The Gilbert Islands, haina jeshi la ulinzi kwa mujibu wa katiba yao, licha ya kwamba waalo jeshi la polisi.
Perfect thread🤗🤗🤗lakini mimi kitu kimoja kinachonifuraisha siku zote ni kwamba sifa ambazo ilitakiwa iwe nazo Greenland inazo iceland(sifa ya ukijani kutokana na jina la eneo) na sifa ambazo Iceland ilitakiwa iwe nazo(barafu) inazo Greenland...jaribu kugoogle iceland then chunguza picha zake halafu google iceland utashangaa
 
Zenji wana Jeshi linaitwa KMKM kikosi cha kuzuia magendo ndio kama rasmi jeshi la kina Ame ukiacha jwtz
Kikosi cha kuzuia magendo majukumu yake ni tofauti kabisa na jwtz ambayo kazi yake ni kulinda mipaka na usalama wa nchi ya Tanzania,
 
Perfect thread🤗🤗🤗lakini mimi kitu kimoja kinachonifuraisha siku zote ni kwamba sifa ambazo ilitakiwa iwe nazo Greenland inazo iceland(sifa ya ukijani kutokana na jina la eneo) na sifa ambazo Iceland ilitakiwa iwe nazo(barafu) inazo Greenland...jaribu kugoogle iceland then chunguza picha zake halafu google iceland utashangaa
Well said mkuu
 
So why is Greenland not called Iceland?!​

Well, it’s partly due to changing climates. At the time that Iceland and Greenland were settled by the Norse People (Vikings), Greenland was much warmer than it is today. Over a thousand years later, Greenland is now colder whereas Iceland is milder.
 
Hata kama vita ya 3 ya dunia itatokea, bado madhara hayawezi kuwa makubwa ukilinganisha na WWI na WW2 kwa sababu mataifa yana hekima na busara zilizotokana uzoefu wa vita za I na II.

Russia ni kichaa tu na anaweza akatafutiwa angle na akala kichapo cha kushtukiza na akaisha nguvu
 
Nchi zipo nyingi tu ambazo hazina jeshi...africa unadhani nchi ngapi zitaweza kupigana hyo vita...
 
So why is Greenland not called Iceland?!​

Well, it’s partly due to changing climates. At the time that Iceland and Greenland were settled by the Norse People (Vikings), Greenland was much warmer than it is today. Over a thousand years later, Greenland is now colder whereas Iceland is milder.
Ooh!! Then thanks for this knowledge
 
Zenji wana Jeshi linaitwa KMKM kikosi cha kuzuia magendo ndio kama rasmi jeshi la kina Ame ukiacha jwtz
Hawa wakija bara kazi wanayopewa ni kulinda wafungwa
 
Si ilikuwa na siti umoja wa mataifa !!?? Iliondokaje!!??
In April 1964, the republic merged with mainland Tanganyika. This United Republic of Tanganyika and Zanzibar was soon renamed, blending the two names, as the United Republic of Tanzania, within which Zanzibar remains an autonomous region.
 
Back
Top Bottom