Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

Nchi 19 ziko wapi? Maana ulisema nchi 31.
 
Perfect thread🤗🤗🤗lakini mimi kitu kimoja kinachonifuraisha siku zote ni kwamba sifa ambazo ilitakiwa iwe nazo Greenland inazo iceland(sifa ya ukijani kutokana na jina la eneo) na sifa ambazo Iceland ilitakiwa iwe nazo(barafu) inazo Greenland...jaribu kugoogle iceland then chunguza picha zake halafu google iceland utashangaa
 
Zenji wana Jeshi linaitwa KMKM kikosi cha kuzuia magendo ndio kama rasmi jeshi la kina Ame ukiacha jwtz
Kikosi cha kuzuia magendo majukumu yake ni tofauti kabisa na jwtz ambayo kazi yake ni kulinda mipaka na usalama wa nchi ya Tanzania,
 
Well said mkuu
 

So why is Greenland not called Iceland?!​

Well, it’s partly due to changing climates. At the time that Iceland and Greenland were settled by the Norse People (Vikings), Greenland was much warmer than it is today. Over a thousand years later, Greenland is now colder whereas Iceland is milder.
 
Hata kama vita ya 3 ya dunia itatokea, bado madhara hayawezi kuwa makubwa ukilinganisha na WWI na WW2 kwa sababu mataifa yana hekima na busara zilizotokana uzoefu wa vita za I na II.

Russia ni kichaa tu na anaweza akatafutiwa angle na akala kichapo cha kushtukiza na akaisha nguvu
 
Nchi zipo nyingi tu ambazo hazina jeshi...africa unadhani nchi ngapi zitaweza kupigana hyo vita...
 
Ooh!! Then thanks for this knowledge
 
Zenji wana Jeshi linaitwa KMKM kikosi cha kuzuia magendo ndio kama rasmi jeshi la kina Ame ukiacha jwtz
Hawa wakija bara kazi wanayopewa ni kulinda wafungwa
 
Si ilikuwa na siti umoja wa mataifa !!?? Iliondokaje!!??
In April 1964, the republic merged with mainland Tanganyika. This United Republic of Tanganyika and Zanzibar was soon renamed, blending the two names, as the United Republic of Tanzania, within which Zanzibar remains an autonomous region.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…