Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

Sio Russia alotaka hii vita ila ni Putin. Ana ubabe wa kipuuzi.
 
Nasubiri muendelezo mkuu!
 
Mataifa yamesitaarabika sana kupigana mataifa kwa mataifa katika vita kwa africa ni gumu, bora hata Tz tukaondoa bajeti ya majeshi tubaki na aina tatu tu ya majeshi jeshi la police, jeshi la uhamiaji na jeshi la magereza, hizo hela zikafanye maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ