Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6 wawili ni warusi, tatu Ukraine kujiunga na NATO ndio utakua mwanzo wa anguko la Russia hivyo huyu kachero mmbobezi Putin kamwe hatakubali haya mambo.
Hivyo ataendelea kushambulia Ukraine na hii itachochea zaid mataifa ya Magharibi kuingia direct kwenye huu mzozo.
Kitendo cha kuingia direct kitampa nafasi mrusi kushambulia haya mataifa direct.
Unajua itakuaje? Mmarekani ataingia na yeye direct. Hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itaanzia.
Nikwambie tuu hakuna namna Urusi ataacha kuipiga Ukraine, maana tayari uwezekano wa mazungumzo haupo, mtazungumzaje wakati Ukraine keshajaza form za kujiunga EAU.