Vita ya Tatu ya Dunia iko mbioni kuanza

Vita ya Tatu ya Dunia iko mbioni kuanza

Hii inadhihirisha mapambano ya kavukavu bila nuclear hawezi kutoboa.
Sasa vita ya 3 ya dunia upigane na silaha za kawaida ktk hii Kerne ya 21 si itakuwa mambo ya kijima. Mbona US alitumia nyuklia miaka kibao iliyopita tena kwa watu wasio na nyuklia.
 
Hawa warussi wana roho ya paka na wanaungana yaani wako serious hawarudi nyuma despite ya vikwazo vyote wahuni hawa

Wanajifanya wababe ngoja tuone mwisho wao wanawatwanga tu wenzao yule raisi zelensky nae ni noma hakatu tamaa kwan yupo kwenye hatar kama watamkamata
Zelensk anatakiwa akamatwe mzima apelekwe Kremlin mafuta ya Nazi yameshaandaliwa
 
Duh wapiganie kwenye ardhi zao huko huko
 
Tusifikie kwenye ww3 jamani
 
mpaka pasaka comedian atakuwa kaomba pooo🙌🏾
Wala hakuna dalili ya vita ya 3 ya dunia.
Hakuna nchi itakayomsaidia Ukraine directly wala hakuna itakayomsaidia mrusi.
Hao watadundana hapo mwezi mmoja biashara imeisha.
 
Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6 wawili ni warusi, tatu Ukraine kujiunga na NATO ndio utakua mwanzo wa anguko la Russia hivyo huyu kachero mmbobezi Putin kamwe hatakubali haya mambo.

Hivyo ataendelea kushambulia Ukraine na hii itachochea zaid mataifa ya Magharibi kuingia direct kwenye huu mzozo.

Kitendo cha kuingia direct kitampa nafasi mrusi kushambulia haya mataifa direct.

Unajua itakuaje? Mmarekani ataingia na yeye direct. Hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itaanzia.

Nikwambie tuu hakuna namna Urusi ataacha kuipiga Ukraine, maana tayari uwezekano wa mazungumzo haupo, mtazungumzaje wakati Ukraine keshajaza form za kujiunga EAU.
Vita ya tatu ya kutoka wapi nyie nae acheni utoto utoto, watapigana wao huko na siyo sisi, labda ungesema kuyumba Kwa uchumi wa dunia ningekuelewa, lakini vita ya dunia huko na huku ni kama kilometer elfu 12,na vitisho vya atomiki ni huko huko na si huku, acheni ushoga
 
Russia amekosa plan wanajeshi watakosa morali ukiangalia uvamizi hata wenyewe Russian hawajaukubali moja kwa moja Putin ni vile hataki kukata tamaa vita imekosa intention USA anaangalia tu na kuongeza vikwazo mpaka makampuni yanamsaidia kumbinya kende Putin...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hii vita itaenda mwezi itabakia kama vurungu tu mwisho itaisha lakini Ukraine tayari amepiga hatua moja mbele amejaza Fom[emoji2219][emoji2219]
 
Sio rahisi kiasi hicho nchi ikiwa na silaha za nyuklia ni nguvu kushambuliwa au kushambuliana.

MAD Mutual Assured
Destruction vita vya nyuklia ni vigumu sababu ukishambulia mwezako kwa Nyuklia na wewe unashambuliwa kwa Nyuklia na bomu la nyuklia la sasa lina nguvu mara 1000 zaidi ya yale ya Hiroshima na Nagasaki.Russia anayo 6000 US 4000 bado nchi nyingine hapo.

Hali hiyo ni Detterence ya vita ama sivyo ulimwengu utateketea.
Hizo data za wapi kijana kuwa Urusi ana nuclear 6000 na Marekani 4000? JF si sehemu ya kuropoka tu kile kikujiacho kichwani mwako. JF ni pana kuliko unavyoifikiria so you better have facts before presenting anything in here.
 
Sio rahisi kiasi hicho nchi ikiwa na silaha za nyuklia ni nguvu kushambuliwa au kushambuliana.

MAD Mutual Assured
Destruction vita vya nyuklia ni vigumu sababu ukishambulia mwezako kwa Nyuklia na wewe unashambuliwa kwa Nyuklia na bomu la nyuklia la sasa lina nguvu mara 1000 zaidi ya yale ya Hiroshima na Nagasaki.Russia anayo 6000 US 4000 bado nchi nyingine hapo.

Hali hiyo ni Detterence ya vita ama sivyo ulimwengu utateketea.
HAKUNA BINADAMU MWENYE UWEZO WA KUTEKETEZA DUNIA
 
Hawa warussi wana roho ya paka na wanaungana yaani wako serious hawarudi nyuma despite ya vikwazo vyote wahuni hawa

Wanajifanya wababe ngoja tuone mwisho wao wanawatwanga tu wenzao yule raisi zelensky nae ni noma hakatu tamaa kwan yupo kwenye hatar kama watamkamata
Warusi tuko imara tuna chukua heshima yetu kwa nguvu

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Kama dunia haitutaki sisi duniani tutaitakaje?
Sauti ya Putin ilisikika
 
Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6 wawili ni warusi, tatu Ukraine kujiunga na NATO ndio utakua mwanzo wa anguko la Russia hivyo huyu kachero mmbobezi Putin kamwe hatakubali haya mambo.

Hivyo ataendelea kushambulia Ukraine na hii itachochea zaid mataifa ya Magharibi kuingia direct kwenye huu mzozo.

Kitendo cha kuingia direct kitampa nafasi mrusi kushambulia haya mataifa direct.

Unajua itakuaje? Mmarekani ataingia na yeye direct. Hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itaanzia.

Nikwambie tuu hakuna namna Urusi ataacha kuipiga Ukraine, maana tayari uwezekano wa mazungumzo haupo, mtazungumzaje wakati Ukraine keshajaza form za kujiunga EAU.
sioni vita vya dunia ila vita baridi inakuja. Sasa ivi mrusi anataka kuvunja miundo mbinu na wale ma-nazi waloruhusiwa na zelensky na wamagharibi kutesa warusi wa ukraine. Ndo mishe sasa pamoja na kuhakiki anashikilia madudu yote ya nyuklia. Akimaliza na nahisi ataumia kidogo, wamagharibi sasa watamuita mezani waongelee nchi iweje na kurudisha wakimbizi 'nchini kwao'
 
Mrusi kwenye hii vita keshashindwa ,ngoja nikuulize hivi mtu akiweza kupanga au kupunguza kipato chako inamaana ana uwezo kukuzid ,Putin kachero mbobez naona kwa hili amechemka ,tena sana maana uchumi wa urusi kwa sasa unalingana na Argentina ni masikitiko sana,Putin uwezo hana
 
Back
Top Bottom