Vita ya Trump na Xi Jinping kuhusu ushuru bado mbichi. Kila mtu kashika mpini, nani atashinda?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu.

China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi kieleweke.

Kinachowapa kiburi china ni kuwa wana gharama ndogo za utengenezaji wa baadhi ya bidhaa zinazopebdwa US ambazo zitagharimu pakubwa zaidi kama zikitengenezwa US, Trump nae anasema US haina haja ya kuitegemea China kutengeneza bidhaa hizo maana wana nafasi ya kufanya hivyo nchini mwao.

20250410_080009.jpg
 
View attachment 3298546
125%Trump 🙌
 
Halafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
Isiwe tu unazungumzia mawinga wa kariakoo kuwa ndo wawekezaji
 
  • Thanks
Reactions: K11

US tariffs on China now total 145%.

Trump kaamua waziwazi kupambana na China.

Drifter Yoda
 
  • Thanks
Reactions: K11
Halafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
Wawekezaji wapi? pale Kariakoo kuna wachuuzu hakuna Mwekezaji hata mmoja,

Wachuzi hawajawahi kuwa wawekezaji kokote kule kwenye nchi yoyote ile Duniani.

Nchi imejaa wachuzu na si bure Frame zunachipuka kila siku
 
  • Thanks
Reactions: K11
Isiwe tu unazungumzia mawinga wa kariakoo kuwa ndo wawekezaji
Sio tu Mawingaz Ile Kariakoo nzima hakuna Mwekezaji, wale ni wachuuzi wanao changia pakubwa kuua viwanda vya ndani. Huwa sielewi wanapo sema Kariakoo nfio roho ya nchi.

Kariakoo ni kituo cha wachuuzi Africa Mashariki na kati
 
Back
Top Bottom