Vita ya Trump na Xi Jinping kuhusu ushuru bado mbichi. Kila mtu kashika mpini, nani atashinda?

Vita ya Trump na Xi Jinping kuhusu ushuru bado mbichi. Kila mtu kashika mpini, nani atashinda?

Sio tu Mawingaz Ile Kariakoo nzima hakuna Mwekezaji, wale ni wachuuzi wanao changia pakubwa kuua viwanda vya ndani. Huwa sielewi wanapo sema Kariakoo nfio roho ya nchi.

Kariakoo ni kituo cha wachuuzi Africa Mashariki na kati
Kweli mkuu. Madalali wa wachina.
 
Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu.

China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi kieleweke.

Kinachowapa kiburi china ni kuwa wana gharama ndogo za utengenezaji wa baadhi ya bidhaa zinazopebdwa US ambazo zitagharimu pakubwa zaidi kama zikitengenezwa US, Trump nae anasema US haina haja ya kuitegemea China kutengeneza bidhaa hizo maana wana nafasi ya kufanya hivyo nchini mwao.

View attachment 3298546
China analialia nini wakati raia wake ni wengi kuliko wamarekani! Atengeneze bidhaa zake awauzie wananchi wake awaongezee raia wake purchasing power tu. Aachane na Trump naye atengeneze vyake.
 
Back
Top Bottom