Mnalinda wawekezaji gani ? Na marekani analinda wawekezaji gani ?Halafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
Tena wako busy kumuona Trump mjinga,I wonderHalafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
125%Trump 🙌Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu.
China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi kieleweke.
Kinachowapa kiburi china ni kuwa wana gharama ndogo za utengenezaji wa baadhi ya bidhaa zinazopebdwa US ambazo zitagharimu pakubwa zaidi kama zikitengenezwa US, Trump nae anasema US haina haja ya kuitegemea China kutengeneza bidhaa hizo maana wana nafasi ya kufanya hivyo nchini mwao.
View attachment 3298546
Bolo Yeung mwenyewe...China ndio jambazi kuu
Inawalindaje?Halafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
Jaribu kama una agiza gari Japan, tena used then angalia CIF yake to Dar port then nenda kwenye web ya TRA cheki kodi ya hilo gari hadi kulishika mkononi, na sasa hvi kuna ulazima wa kwenda bandari kavu. Utakimbia mwenyewe125%Trump 🙌
Isiwe tu unazungumzia mawinga wa kariakoo kuwa ndo wawekezajiHalafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
US tariffs on China now total 145%.Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu.
China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi kieleweke.
Kinachowapa kiburi china ni kuwa wana gharama ndogo za utengenezaji wa baadhi ya bidhaa zinazopebdwa US ambazo zitagharimu pakubwa zaidi kama zikitengenezwa US, Trump nae anasema US haina haja ya kuitegemea China kutengeneza bidhaa hizo maana wana nafasi ya kufanya hivyo nchini mwao.
View attachment 3298546
Wawekezaji wapi? pale Kariakoo kuna wachuuzu hakuna Mwekezaji hata mmoja,Halafu kuna wajinga hapa kwetu wanasema etii wawekezaji wa ndani wasilindwe. Huku nchi kama USA inapambana kulinda wawekezaji wa ndani.
China yeye amemwekea USA tariff ya asilimia ngapi?
Sio tu Mawingaz Ile Kariakoo nzima hakuna Mwekezaji, wale ni wachuuzi wanao changia pakubwa kuua viwanda vya ndani. Huwa sielewi wanapo sema Kariakoo nfio roho ya nchi.Isiwe tu unazungumzia mawinga wa kariakoo kuwa ndo wawekezaji
China= bolo yeung👿Bolo Yeung mwenyewe...