Pre GE2025 Vita ya Ubunge Arusha mjini; Makonda amzuia Mkuu wa Wilaya kushiriki mikutano ya Mbunge Gambo

Pre GE2025 Vita ya Ubunge Arusha mjini; Makonda amzuia Mkuu wa Wilaya kushiriki mikutano ya Mbunge Gambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Sijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.Pia soma Pre GE2025 - Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno

Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha Kwa sababu inakuaje ni vibaya Kwa Mbunge kuibua ufisadi Hadi RC akasirike?

Soma hapa zaidi Pre GE2025 - Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa

View: https://x.com/Nipashetz/status/1894291786379432057?t=ZBK73YSBfxJzG4KpEVHTkQ&s=19

My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka
👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1894079305904185447?t=0JNELBsD5uCSQYia129xsw&s=19

View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared
 
Anaacha kwao anafuata mkoa wa watu ,nafasi ya ukuu wa mkoa inamtosha.

Watu wa Arusha msikubali kuwakilisha na mkimbizi bora hata muwakilishi na ng'ombe.
Kwao wapi, acha upumbavu, Gambo ni wa wapi? Amezaliwa Arusha? Hii ni nchi moja, Makonda ni mkazi wa Arusha siku nyingi hata harusi alifungia Arusha. Arusha ni jiji, hakuna mzawa wote watanzania.
 
Kwa hili kama ni kweli RC hajui majukukumu yake au ameamua kwa makusudi ameamua kumkomoa mwenzie.Ajitafakari
 
Sijawahi ona RC ambae mda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.

Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha 👇 👇

View: https://youtu.be/HUnmSDs_z5A?feature=shared

My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka 👇👇

View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared

Huo wimbo wa "...tuna imani na mtu ...kweli kweli kweli fulani ..." ulikula kichwa cha mtu 2015
 
Sijawahi ona RC ambae mda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.

Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha 👇 👇

View: https://youtu.be/HUnmSDs_z5A?feature=shared

My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka 👇👇

View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared

Kwa hiyo wewe sasa upo team Gambo ?...

Gambo is getting a taste of his own medicine..
 
Sijawahi ona RC ambae mda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.

Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha 👇 👇

View: https://youtu.be/HUnmSDs_z5A?feature=shared

My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka 👇👇

View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared

1740417749487.png

Huyu ni nani wakuu hajalia ila ni kama ametoa machozi
 
Back
Top Bottom