Naendelea kusisitiza wewe ni mjinga sana,Mbunge hawajibiki na vikao popote na hata vikao vya Halmashauri hupangwa na DED Kwa ratiba maalumu na ajenda maalumu.
Hivyo sio vikao vya kusema nani ameiba nani hajaiba.
Haya Sasa hao wanaokaa kwenye vikoba ndio wameiba Sasa pesa na Gambo amewaumbua Sasa wanatafutana,hawakuona kwenye vikao? Mbona wanaanza kuulizana kwenye makamera?
Nasisitiza wewe na Konda wako ni useless na mnapambana kufanya siasa badala ya kutatua shida za wananchi.
Makonda alikataliwa Kigamboni Kwa nini akavuruge Arusha? Watendaji wanaiba yeye anafanya nini?
Mwisho wakati Tundu Lisu anashuguu Mbowe Kwa wizi ilikuwa ni kwenye vikao? 🤣🤣🤣🤣🤣