Pre GE2025 Vita ya Ubunge Arusha mjini; Makonda amzuia Mkuu wa Wilaya kushiriki mikutano ya Mbunge Gambo

Pre GE2025 Vita ya Ubunge Arusha mjini; Makonda amzuia Mkuu wa Wilaya kushiriki mikutano ya Mbunge Gambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwao wapi, acha upumbavu, Gambo ni wa wapi? Amezaliwa Arusha? Hii ni nchi moja, Makonda ni mkazi wa Arusha siku nyingi hata harusi alifungia Arusha. Arusha ni jiji, hakuna mzawa wote watanzania.
Makonda ni msukuma ,mtu agombee kigamboni akose then aende Arusha tena 🤣🤣then mkukubali
 
Kwa taarifa yako Gambo alizaliwa Kariakoo Dsm, mwulize alifikaje Arusha? Ni kwa kuwa Tanzania ni moja, aache ubaguzi
Bakini kwenu ; mtu mmoja ugombee kigamboni ,halafu ugombee tena Arusha...

Kuweni na aibu mbaki kwenu.
 
Serious ng'ombe ndio iwawakilishe?, kwaio wananchi wa uko ni mapunda kabisa
Wagombea wapo wazalendo wa Arusha sio huyo ,unagombeaje sehemu mbili tofauti kwani wewe ndio pekee?

Arusha kuna vijana wazalendo wengi tu.
 
Kwa lipi hapo la kumuunga mkono
Moja , amewataka viongozi wenzio kukaa kwenye vikao na kufanya utafiti kabla ya kuropoka kama yule mkuu wa mkoa wa Tabora.

pili ameagiza kama kweli izo tuhuma zipo na wahusika wapo wafikishwe kwenye vyombo vya sheria mara moja.

Binafsi sio mfutiliaji na sitaki kuwa mfatiliaji wa siasa za Makonda za kishamba ila kwa hili namuunga mkono
 
Sio kazi ya Mbunge kutoa majibu ya maswali ya Wananchi Wala Kukaa kwenye vikao Bali Watendaji wa Serikali Kina Makonda na wenzake.

Arusha Ina historia na upigaji na Gambo amekuwa akisemea hayo Hadi Bungeni.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGdq3CuN676/?igsh=MTdqbTF0YjdhNDQxaA==
 
Kwa lipi hapo la kumuunga mkono
Kwanza umeandika kwa kupotosha.Makonda ameagiza kwamba kama kuna upigaji ufanyike uchunguzi na waliofanya hivyo wachukuliwe hatua
Wewe ndio umeandika majungu kwa maslahi yako.Au wewe ndio Gambo mwenyewe unaogopa kivuli chako?Kama kuna upigaji uchunguzi utabainisha au kama ni majungu ukweli utajulikana.
Wacha majungu.
 
Dalili ya masking ni fitina na majungu
Yuko sahii sana , maskini huwa tuna majungu sana, pamoja na mapungufu ya Makonda kuna mambo matatu akiyafanyia kazi anaweza rudi katika viwango nivitakavyo mimi ila shida Mungu wangu alisha mfuta kwe nafasi za kuwa kiongozi ,hata alipo wanadunia wamelazimisha tu.
 
Back
Top Bottom