JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Sijawahi ona RC ambae mda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.
Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha π π
View: https://youtu.be/HUnmSDs_z5A?feature=shared
My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka ππ
View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared
Makonda ni msukuma ,mtu agombee kigamboni akose then aende Arusha tena π€£π€£then mkukubaliKwao wapi, acha upumbavu, Gambo ni wa wapi? Amezaliwa Arusha? Hii ni nchi moja, Makonda ni mkazi wa Arusha siku nyingi hata harusi alifungia Arusha. Arusha ni jiji, hakuna mzawa wote watanzania.
Bakini kwenu ; mtu mmoja ugombee kigamboni ,halafu ugombee tena Arusha...Kwa taarifa yako Gambo alizaliwa Kariakoo Dsm, mwulize alifikaje Arusha? Ni kwa kuwa Tanzania ni moja, aache ubaguzi
Hii tena too much, dini gani huyu?Mbona yeye huwa anawasema wenzake wamepigwa hadharani. Na kama ni kweli shida iko wapi?
Wagombea wapo wazalendo wa Arusha sio huyo ,unagombeaje sehemu mbili tofauti kwani wewe ndio pekee?Serious ng'ombe ndio iwawakilishe?, kwaio wananchi wa uko ni mapunda kabisa
Kwa hili namuunga mkono MakondaSijawahi ona RC ambae mda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.
Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha π π
View: https://youtu.be/HUnmSDs_z5A?feature=shared
My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka ππ
View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared
Kwa lipi hapo la kumuunga mkonoKwa hili namuunga mkono Makonda
Moja , amewataka viongozi wenzio kukaa kwenye vikao na kufanya utafiti kabla ya kuropoka kama yule mkuu wa mkoa wa Tabora.Kwa lipi hapo la kumuunga mkono
Sio kazi ya Mbunge kutoa majibu ya maswali ya Wananchi Wala Kukaa kwenye vikao Bali Watendaji wa Serikali Kina Makonda na wenzake.Moja , amewataka viongozi wenzio kukaa kwenye vikao na kufanya utafiti kabla ya kuropoka kama yule mkuu wa mkoa wa Tabora.
pili ameagiza kama kweli izo tuhuma zipo na wahusika wapo wafikishwe kwenye vyombo vya sheria mara moja.
Binafsi sio mfutiliaji na sitaki kuwa mfatiliaji wa siasa za Makonda za kishamba ila kwa hili namuunga mkono
Dalili ya masking ni fitina na majunguSijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.
Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha π π
View: https://youtu.be/HUnmSDs_z5A?feature=shared
My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka ππ
View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared
Ni ngumu kumzidi Lemma ArushaTatizo la Arusha Ubunge wanapewa Wakuja πΌ
Kwanza umeandika kwa kupotosha.Makonda ameagiza kwamba kama kuna upigaji ufanyike uchunguzi na waliofanya hivyo wachukuliwe hatuaKwa lipi hapo la kumuunga mkono
Hayanihusu nimetoa mtazamo wangu wa leo tu kwa Makonda, usiniletee ujinga mwingine ,hope umeelewa we chawaSio kazi ya Mbunge kutoa majibu ya maswali ya Wananchi Bali Watendaji wa Serikali Kina Makonda na wenzake.
Arusha Ina historia na upigaji na Gambo amekuwa akisemea hayo Hadi Bungeni.ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGdq3CuN676/?igsh=MTdqbTF0YjdhNDQxaA==
Lema hana nguvu Arusha kwa sasa ila huu ujinga wa CCM Arusha unaweza kumfanya akashinda. CCM Arusha ina tatizo kubwa. Mgawanyiko ni mkubwa. Arusha mjini na Moshi mjini kuna hatari za kurudi upinzani kama CCM haitachukua hatua.Ni ngumu kumzidi Lemma Arusha
Dear eXInashangaza sana
Yuko sahii sana , maskini huwa tuna majungu sana, pamoja na mapungufu ya Makonda kuna mambo matatu akiyafanyia kazi anaweza rudi katika viwango nivitakavyo mimi ila shida Mungu wangu alisha mfuta kwe nafasi za kuwa kiongozi ,hata alipo wanadunia wamelazimisha tu.Dalili ya masking ni fitina na majungu
Athari ya kugigida bapa kavu kavu hiyo. Hapo ndio anatabasamu mwenzioπ€£View attachment 3248195
Huyu ni nani wakuu hajalia ila ni kama ametoa machozi