ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Mbunge ameibua ufisadi,Makonda na Watumishi wake walete majibu badala ya kuleta majungu Kwa Mbunge.Kwanza umeandika kwa kupotosha.Makonda ameagiza kwamba kama kuna upigaji ufanyike uchunguzi na waliofanya hivyo wachukuliwe hatua
Wewe ndio umeandika majungu kwa maslahi yako.Au wewe ndio Gambo mwenyewe unaogopa kivuli chako?Kama kuna upigaji uchunguzi utabainisha au kama ni majungu ukweli utajulikana.
Wacha majungu.
Sijawahi elewa kuelewa huyo RC wenu maana inaonekana hajui kazi za Mbunge na anadhani Mbunge akiibia ufisadi anamchongea yeye.Mkuu declare interest wazi wazi kuwa wewe ni timu Gambo, kama siyo Gambo mwenyewe!
Taarifa yako iko too biased!
Inaelekea wewe ndio huelewi unachokisema.Gambo angekuwa ana nia nzuri na huo anaouita ufisadi angeanza kwenye vikao.Hashiriki vikao vya madiwani na RCC yeye akiwa mjumbe.Mbunge ameibua ufisadi,Makonda na Watumishi wake walete majibu badala ya kuleta majungu Kwa Mbunge.
Naendelea kusisitiza wewe ni mjinga sana,Mbunge hawajibiki na vikao popote na hata vikao vya Halmashauri hupangwa na DED Kwa ratiba maalumu na ajenda maalumu.Inaelekea wewe ndio huelewi unachokisema.Gambo angekuwa ana nia nzuri na huo anaouita ufisadi angeanza kwenye vikao.Hashiriki vikao vya madiwani na RCC yeye akiwa mjumbe.
Ni vizuri sana kufichua ufisadi lakini ufisadi huwa unashughulikiwa na vyombo kama Takukuru na Polisi na hatimaye kupelekwa mahakamani kama ushahidi unakidhi vigezo vya sheria.
Kupayuka tu kwenye majukwaa hakusaidii ni dalili ya siasa za populism.Gambo hana anayepatana nae ni bingwa wa majungu na wivu.
Muda wake wa kuwa mbunge unaelekea ukingoni na hana mahusiano mazuri na madiwani na Chama anachokiwakilisha.Ogopa kiongozi asiyetaka vikao.
Wewe ndio mjinga haswa.Na kama wewe sio Gambo basi ni chawa wake mahsusi.Mbunge ni mjumbe kwenye vikao vya madiwani na pia ni mjumbe kwenye RCC. Kama kweli wewe Gambo wanabee ni mkweli kitu gani kilikufanya uvue joho na kukimbia kikao Mheshimiwa Makonda alipoingia kwenye kikao?Naendelea kusisitiza wewe ni mjinga sana,Mbunge hawajibiki na vikao popote na hata vikao vya Halmashauri hupangwa na DED Kwa ratiba maalumu na ajenda maalumu.
Hivyo sio vikao vya kusema nani ameiba nani hajaiba.
Haya Sasa hao wanaokaa kwenye vikoba ndio wameiba Sasa pesa na Gambo amewaumbua Sasa wanatafutana,hawakuona kwenye vikao? Mbona wanaanza kuulizana kwenye makamera?
Nasisitiza wewe na Konda wako ni useless na mnapambana kufanya siasa badala ya kutatua shida za wananchi.
Makonda alikataliwa Kigamboni Kwa nini akavuruge Arusha? Watendaji wanaiba yeye anafanya nini?
Mwisho wakati Tundu Lisu anashuguu Mbowe Kwa wizi ilikuwa ni kwenye vikao? π€£π€£π€£π€£π€£
Gambo amchana Makonda live ππππSijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.Pia soma Pre GE2025 - Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno
Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha Kwa sababu inakuaje ni vibaya Kwa Mbunge kuibua ufisadi Hadi RC akasirike?
Soma hapa zaidi Pre GE2025 - Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa
View: https://x.com/Nipashetz/status/1894291786379432057?t=ZBK73YSBfxJzG4KpEVHTkQ&s=19
My Take
Inawezekana tatizo ni vita ya kupigania nafasi ya Kuwa Mbunge wa Arusha maana chawa wameshafunguka
ππ
View: https://x.com/Jambotv_/status/1894079305904185447?t=0JNELBsD5uCSQYia129xsw&s=19
View: https://youtu.be/5_lMWZaEZ7E?feature=shared
Malipo ni hapa hapa duniani wakati yeye akiwa mbunge aliwafanyia hivyo hivyo wenzie
Sawa chawa wa Bashite naona baada a Kujiliza barazani umekuja kukomaa huku ππππHuyu mjinga amejichongea.Hana support ya wananchi hapa Arusha wala ya Chama.Anajipapatua tu.Afurahie pensheni yake ya Ubunge. Hajui wakati gani aseme na wakati gani akae kimya.Makonda akiamua kugombea Gambo hana nafasi yeyote ya kuteuliwa na Chama.Hana popular support ya wananchi wa Jimbo la Arusha wala ya CCM mkoani na wilayani.