Pengine hujaweza kuwatambua CIA vizuri, ni watu wenye upeo wa hali ya juu.
1. Walitengeneza mazingira ambayo walijua Russia ataingilia kati.
2. Russia akiingilia kati, watatifua zaidi ishu ya Ukraine kuingia NATO.
3. Russia hatokubali, ataingia kijeshi Ukraine.
4. Akiingia kijeshi, dawa ni kumsaidia Ukraine, Ukraine amtie hasara kijeshi Putin na kiuchumi. Huu ndo wakati wa kupima uzito wa zana za Russia.
5. Mpaka sasa wameshajua uwezo wa defence system za Russia, wameshambulia meli ilokuwa na S300 pamoja na vituo vya mafuta.
6. Wameshajua zana zao za kulinda anga zipoje na misafara ya ground force. Mpaka leo ni kweli hamna vifaru wala ndege ndani ya Ukraine. Kupitia vita hii, ni rahisi mno kusoma uwezo wa kijeshi wa Russia upoje, na mpaka sasa wameshajua uwezo wake.
7. HAKUNA AJUAYE NIA YA CIA NI IPI KTK VITA HII, KILE WALICHOPANGA NDICHO KITAFANYIKA.