EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai.
Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki umezingirwa huku akidai wanajeshi wa serikali wamewafukuza wanajeshi wa Russia kutoka kwenye viunga vyake.
Wakati mapigano makali yakiendelea kwenye kitovu cha viwanda cha Ukraine, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz walitaka yafanyike “mazungumzo muhimu ya moja kwa moja” kati ya kiongozi wa Russia Vladmir Putin na mwenzake Volodymyr Zelensky wa Ukraine.
Katika mazungumzo ya simu ya dakika 80 na kiongozi huyo wa Russia, ofisi ya Kansela wa Ujerumani ilisema viongozi hao wa Umoja wa Ulaya pia walisisitiza kusitishwa mara moja kwa mapigano na kuondolewa kwa wanajeshi wa Russia.
Tangu kushindwa katika azma yake ya kuuteka mji mkuu wa Kyiv katika hatua za awali za vita, Russia imehamishia mwelekeo wake katika eneo la mashariki la Donbas huku ikijaribu kuunganisha maeneo yaliyo chini ya udhibiti wake.
“Hali ni ngumu sana, hususan katika maeneo yale ya mikoa ya Donbas na Kharkiv, ambapo jeshi la Russia linajaribu kushinda,” Rais wa Ukraine Zelensky alisema katika hotuba yake ya kila siku kwa taifa.
Juzi, Wizara ya ulinzi ya Russia ilisema “mji wa Krasny Liman umekombolewa kabisa kutoka kwa wazalendo wa Ukraine”, ikitumia jina la Moscow la Lyman.
Lyman iko kati ya barabarani ya kuelekea Kramatorsk na Severodonetsk, ambayo afisa wa polisi katika jimbo la Lugansk aliyenukuliwa na vyombo vya habari vya serikali ya Russia alisema “sasa umezingirwa”.
Hata hivyo Gavana wa eneo hilo, Sergiy Gaiday, aliiambia televisheni ya Ukraine “Severodonetsk haijatengwa bado kuna uwezekano wa kufikisha misaada ya kibinadamu.”
Matamshi yake yalikuja wakati Russia ikiwa katika mazoezi mengine ya kunyoosha misuli ya wanajeshi huku ikijinasibu kuwa imefanikiwa kufanya majaribio ya makombora ya ‘hypersonic’ katika Arctic.

Matamshi yake yalikuja wakati Russia ikiwa katika mazoezi mengine ya kunyoosha misuli ya wanajeshi huku ikiwa kufanya majaribio ya makombora ya ‘hypersonic’ katika Arctic.
Juzi Rais Putin aliwaambia Rais wa Ufaransa (Macron) na Kansela wa Ujerumani (Scholz) kwamba Russia ilikuwa “tayari” kutafuta njia za kuruhusu ngano zaidi kuingia kwenye soko la kimataifa.
“Russia iko tayari kusaidia kupata chaguzi za usafirishaji wa nafaka bila vikwazo, ikiwa ni pamoja na usafirishaji wa nafaka za Ukraine kutoka bandari za Bahari Nyeusi,” Kremlin ilimnukuu akisema.