Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
vp mkuu hali uko [emoji23] [emoji23] [emoji23] :
Ni mzima wa afya, mimi pamoja na mke na watoto wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vp mkuu hali uko [emoji23] [emoji23] [emoji23] :
Putin kichaa wa akiliKuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.
Lakini hili biti liliwafanya waweweseke mwanzoniWameingilia hadi kukushika kidevu, mbona haujafanya chochote....
Lakini hili biti liliwafanya waweweseke mwanzoni
acha ushabiki wa kitoto, marekani ilitishia kumwondoa Maduro wa Venezuela; Russia ikatuma makomandoo bila hata mapigano USA ikaufyata, kule Syria USA ilitaka kumwondoa Bashar al asaad, Russia ikaingilia kati hadi leo Bashar al asad anadunda, Endorgan wa uturuki alipinduliwa na waasi kwa msaada wa USA, Russia ikamrejesha! RUSSIA NI ZAIDI YA SUPER POWER!Hata mimi niliweweseka maana siku zote nilijua Urusi ni supapawa wa kweli, nilijua ni nchi yenye uwezo mkubwa sana yaani picha niliyokua nayo akilini kuhusu Urusi aisei nilijua Ukraine watapigwa ndani ya wiki na hakuna atakayeingilia.
Supapawa akianza kupiga hauwezi kuingilia, angalia namna Marekani hufanya pale akianza kupiga, hutoa tamko moja la "aidha uko naye au uko upande wa adui"....
Mzee ana mikwara kweli kweli........hao wanaopeleka silaha kwa Ukraine wamekutana na matokeo yapi mpaka Sasa ?Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine, Kiev ambapo Putin akanukuliwa akisema: “Kwa yeyote atakayeingilia kutoka nje, atakutana na matokeo ambayo hajakutana nayo katika historia.
Atakaye ingilia mara ya ngapi ? Tayari wameingilia zaidi ya mwaka sasa. Alisema hivyohivyo kuwa Russia lazima icheze FIFA World Cup 2022 ama sivyo hakuna mashindano. Na game zikaendelea bila Urusi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho.
Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine, Kiev ambapo Putin akanukuliwa akisema: “Kwa yeyote atakayeingilia kutoka nje, atakutana na matokeo ambayo hajakutana nayo katika historia.
Baraza la Usala la Umoja wa Mataifa liliitisha kikao cha dharura Jumatano Februari 23, 2022 mara baada ya Urusi kuanza mashambulizi.
======
After Russian President Vladimir Putin announced he had ordered military action in Ukraine early Thursday, he threatened "those who may be tempted to intervene" on Ukraine's behalf. "Now a few important, very important words for those who may be tempted to intervene in ongoing events from the outside," Putin said.
"Whoever tries to interfere with us, and even more so to create threats to our country, to our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences as you have never experienced in your history. We are ready for any development of events. All necessary decisions in this regard have been made. I hope that I will be heard."
The President of the European Council and the President of the European Commission issued a joint statement Thursday condemning Russian military action in Ukraine "in the strongest possible terms."
"Russia is grossly violating international law and undermining European and global security and stability," European Council President Charles Michel and European Commission President Ursula von der Leyen said in the statement.
Source: CNN
kuna mkunya mmoja sijui kama atakuelewa, wengi hawa hawakuwepo wakati wa vita baridiNi kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.
Urusi ina Makombora 7500 ya Nyuklia kwa takwimu za NIT. Makombora 2500 yako tayari kufyatuliwa kuelekea Endeo lolote Lile Duniani litakapotumwa. Marekani ina Miji mikubwa 358 na Majimbo 54. Kombora Moja linaugeuza mji kuwa Majivu kabisa. Kama Mrusi akituma Makombora yote 2500 kuelekea Marekani,Basi ndani ya dakika 30 hakutakuwa na USA Duniani.
Kwa Upande Mwingine,Marekani ina Makombora ya Nyuklia 6800. Kati ya hayo, 3500 yako tayari kufyatuliwa ndani ya Dakika 5 wakipokea Order na Direction ya kuyafurumusha. Urusi ina Miji mikubwa 43. Endapo USA akiona Russia kashatuma Makombora Yake kuelekea Marekani na hakuna jinsi Basi ndani ya Dakika 5, Makombora 3500 ya Marekani yatakuwa njiani kuelekea Urusi kuteketeza Miji 43,Ndani ya Nusu saa hakutakuwa na Urusi Tena. Hiyo inaitwa MUTUAL ASSURED DESTRUCTION(MAD).
Haya Sasa,Tuseme wewe ni Raisi wa Russia,utarusha hayo Makombora kuelekea Marekani au utafanya juhudi za majadiliano?
Mwishoni mwa Vita baridi kabisa (1988) Nchi za Marekani na Urusi Zilikuwa na Akiba ya Makombora 127,000 (Laki moja na elfu ishirini na Saba). Kati ya hayo, 58,000 ya Urusi na 69,000 ya USA. Embu fikilia. Kombora Moja linafuta mji mmoja wa Dar. Je,Dunia ina Miji 127,000? Jibu ni Hapana.
Kwahiyo ndugu yangu usiwe na tempa unapokuwa unachangia hizi maada,tumia Logic utaelewa tu.
Urusi na Marekani wanajuana,wakikutana Anga Furani Kila mmoja anaangalia Nani anamaslahi makubwa na anamwachia ili kuepusha Vita.
Georgia Mwaka 2008 Marekani hakuingiza mguu kusaidia Nchi hiyo dhidi ya Uvamizi wa Russia kwasababu Marekani anajua hapo Russia ana maslahi Makubwa.
Iraq mwaka 2003 Russia hakutia Mguu kwasababu Marekani alikuwa na Maslahi Makubwa.
Libya mwaka 2011 Russia hakutia Mguu kwasababu USA alikuwa na Maslahi Makubwa.
Venezuera Marekani aliogopa Msululu wa wakimbizi kumiminika nchini Marekani hata Kama angeliamua Vita Urusi angelipisha Coz pale ni Maslahi Makubwa ya kiusalama kwa USA.
Syria pale Wote Urusi na USA wanamaslahi na ndio maana mpaka Sasa wameigawana kijanja. Urusi inamhitaji Assad kwasababu Anamdai pesa ndefu. Marekani anahitaji Mafuta ndio maana mpaka leo Majeshi ya Marekani yapo Syria kulinda Visima vya Mafuta.
Kuhusu Ukraine,hata Marekani anajua kabisa Maslahi ya Urusi ni Makubwa kwahiyo lazima akae pembeni. Atashiriki tu kijanja lakini sio moja kwa moja.
MTz 255Dar.
Huu ulikuwa mkwara tu...Lakini hili biti liliwafanya waweweseke mwanzoni
Warusi wa magomeni bhaaana.Safi wapigwe maana wao NAto ndio wamefikisha vita hapo. Walikua na room ya kuzuia njia yoyote ya ukraine kutaka kujiunga kwao.
Uzuri vita ya sasa itakua ni mabomu tuu.
Madalali wa magomeni tujiandae kupangisha wazungu kina rambo[emoji3]
Kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.