Vita ya Urusi na Ukraine, Ujasusi, Majeshi na Uchumi

Russia bana Hadi raha
 
Mkuu naona jazba imekutawala; mpaka unamwita mwenzako NONSENSE, si jambo jema hata kidogo.
Amesema Russia anapambana na Intelligence Agents zote za NATO + Other Western Allies; hiyo ni kweli wala siyo propaganda.
Kwa wingi wao huo na nguvu ya vyombo vya habari wanayomiliki, kwa nini wasi-mu-outsmart Russia mapema sana kabla hajateka 1/5 au 20% ya Ukraine?
Lakini pia; sikubaliani na hoja ya mtoa mada kwamba Russia yuko PEKE YAKE Kiintelijensia katika hii vita yake; naamini, kutokana na itikadi za kisiasa zilizoko duniani; Russia yuko pamoja na China, Iran, Korea Kaskazini, na NDUMILAKUWILI India.
Nchi hizi zinampa ushirikiano mkubwa sana Russia japo kwa Sasa siyo kwa uwazi sana; lakini mbele ya safari kama vita hivi vitaendelea kwa muda mrefu, hawa washirika wayajitokeza waziwazi.
 
We jamaa ni muongo wa karne
 
Namwenye nchi yake anasema hv sasa tumuamini nani hapa!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ndio huo na western wote wanalijua Hilo Hadi Sasa,ila wale wenzangu na mie waliolishwa propaganda za west na wakashiba hawataki hata kukubali kama mrusi Alisha jimegea pande no na amewaahidi kuendeleza mbali zaidi kutokana na misaada uchwara ya west.🚶
 
Endelea kuota, anayesema ameua majenerali wa urusi ni huyo Ukraine anaepokea kipondo kila siku. Baada ya kuzidiwa anakuja na hoja za kuua majenerali wa urusi ili ku'boost' morale ya Askari. Yet hiyo haijasaidia, ila mu- Ukraine wa Namtumbo anaamini na anaichukulia hiyo propaganda kuwa ndo uhalisia. Can't you reason for the authenticity of the source of your information?!!! Kwahiyo Leo Ukraine wakipost wameua Askari laki moja wa urusi utaamini?
 
Hivi kweli warusi wakitaka kumua zeleboy watashindwa?
Kama waliingia Great Britain wakafanya yao I we Ukraine?
 
Acha hasira ndugu, huo NI mtazamo wake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…