Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ndio inaongoza hiyo..Sikuhizi Kuna fekii??
Hawa jamaa kuna sehemu wanakosea.Hahahaaa! sisi wadau wa longi hatutupi jongoo na mti wake. mda utafika tu heshima itarudi. Serengeti hawana chao kwenye baa, fikiria bia zao za tusker na serengeti yenyewe, zinajikongoja na ni sababu tu ni za kitambo ndo maana bado ziko sokoni. Miaka michache ya nyuma walitoa serengeti yao (cha ajabu hata jina nimeisahau) lakini haikudumu hata miaka mitatu ikapotea, tena ilikuwa inapatikana baadhi ya maeneo tu.
Niambie tu mkuu, nitakupa bia tatu "bingwa" kama zawadi. Najua ulizinywa mwishoni mwa tisini.
Hongera mzee kwa kuweza kukabiliana na huyo mnyama bila madhara ...mi binafsi k vamt sijawahi kuielewa kila nikinywa sipati nachokitaka kaabisa na nisipo kunywa konyagi sina amani kabisa ndani ya moyo yani najiona nimepoteza hela za bure tuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sio kimbaumbau wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza zamani kusema uwongo Sikulaumu
Hahaahaaa.....[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Shida ya k vant wakuu inakata memory yote ukizima asubh hukubuki kilicho jiri jana zaidi ya kukumbuka mlango ulioingia pindi hujaanza kufyonza
Huko shida ukicheka[emoji16][emoji16] machicha yanabaki kwenye menoHahaahaaa.....[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, bora uhamie huku kwenye...[emoji39] [emoji39]
View attachment 934078