Vita ya Vinywaji...

Nashangaa kwenye mchuano hakuna bato kati ya

Masafi vs uhai

Kwa dar naona masafi kashampiga chini uhai

Azam energy vs mo energy[emoji23] [emoji23] kwa wanaume wa dar
 
Iko haja ya kuijaribu K Vant. Kwa sasa ni mfuasi mkubwa wa Faru John.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…