Aisee hiyo makitu siku hizi sijui kwanini hawayatengenezi. Hayo madude ulikuwa ukiyapiga matano lazima uimbe kwaya baa...
daily fresh milk inakuwa nzuri sanatofauti na soda ni kinywaji kipi kingine naweza kuchanganya na k vant au konyagi ili nisihisi ile harufu?? ile harufu ya nyagi na k vant huwa inanipa shida sana
yapo kwenye pakiti?daily fresh milk inakuwa nzuri sana
NDIO, HATA UKIPATA AZAM MILK SIYO MBAYA ILA YASIWE YA KUTOKA KUKAMULIWA KWA NG'OMBE! JARIBU UTAONA ILA KULEWA KUPO PALE PALE USIDHANI MAZIWA YATAZUIA. HAPANA!!!yapo kwenye pakiti?
Ah nipo Lovely mum ... sivumi lakini niko napambana na wajukuu zanguBabuuu asprin kumbe huvumi lkn umooo mzee mwenzio yuko wapi cc@Daby
hii kitu ni true kabisaWe jamaa acha kumwingiza mwenzio chaka bhana
SI tumezoea Sana k VANT plus mo energy japo nasikia Ni sumu tunatengeneza..mtaan Kuna wakemia wakuu kazi Yao ku mix hizi mambo juzi wakaleta k VANT na hio sijui Inaitwa blue magic sijui blue moment asee ilikuwanga sho shoK vant + safariππ
Safari ni safari. Iwe mchana au usku safari ni safari..Salamuni...
Tukielekea kwenye maandalizi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka... ambazo wale wenzangu na mimi tunaolipa kodi kupitia manywaji zinatuhusu... hebu sogeeni hapa tuwekane sawa kidogo....
Maana tumechoka kila siku tunasoma Dsm Vs Nairobi, Clouds Vs EFM, Wanaume wa Dar Vs wa Mikoani, Vibamia Vs Matango, Sura Vs Chura... gadeimm
Kuna vita kali imeibuka kwenye tasnia yetu ya ulipaji kodi kupitia ulabu
Pilsner lager Ikichuana na Balimi
Serengeti Lite ikiumana vibaya na Castle Lite
Na kuna hii ligi yenye mvuto wa aina yake imeibuka kati ya K Vant na Konyagi
View attachment 933640
View attachment 933642
Kwa wale wa Pepsi Vs Mirinda wanaweza kupiga juu kwa juu
Mimi kama mimi naona kama hii Vita ya Serengeti Lite Vs Castle lite... huyu Castle lite ni kama anapumulia mashine....
Hii ya K Vant Vs Konyagi... hapa naona njemba nyingi za nyagi zinahamia K vant kuunga mkono juhudi za kupoteza memory...
Ah ngoja niuchune hapa maana huu ulabu sichelewi kuandika matusi ...
Sipati picha wewe ukawa pasta[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiki chombo nilikivulia kofia wallah... Badala ya kwenda nyumbani nikajikuta niko kanisani!
View attachment 933730