Vitabu 50 Unavyopaswa Kuvisoma Kabla Mwaka Huu 2019 Haujaisha Kama Unataka Mafanikio Makubwa.

Vitabu 50 Unavyopaswa Kuvisoma Kabla Mwaka Huu 2019 Haujaisha Kama Unataka Mafanikio Makubwa.

Duu kusoma hayo maelezo yako yote nimerukaruka sasa kwa hali hii ya Mzee baba huo muda wa kusoma vitabu vyote hivyo utatokea wapi? Usome vitabu bank kumenona sio kwa hali hii aisee utatusamehe tu.
 
Duu kusoma hayo maelezo yako yote nimerukaruka sasa kwa hali hii ya Mzee baba huo muda wa kusoma vitabu vyote hivyo utatokea wapi? Usome vitabu bank kumenona sio kwa hali hii aisee utatusamehe tu.
Mkuu hapo sasa ndiyo unakwenda kinyume, na hilo litakukwamisha sana.
Husomi vitabu benki kukiwa kumenona, bali unasoma vitabu kunonesha benki.
Usiamini haya ninayokuambia, wewe fanya hivi, kwa kazi au biashara yoyote unayofanya, chagua vitabu vitano bora kabisa kwenye enei hilo, visome na fanyia kazi yale uliyojifuna, halafu jipime miaka 2 mpaka mitano ujayo, utakuwa umepiga hatua sana.
Jaribu hili na uje unipe matokeo.
Kila la kheri.
 
Natafuta kitabu cha closer's survival guide by Grant Cardon.
Mwenye nacho naomba anisaidie.
Asanteni

cc Makirita Amani
Hicho sina,
Nina If You're Not First, You're Last: Sales Strategies to Dominate Your Market and Beat Your Competition na Sell or Be Sold: How to Get Your Way in Business and in Life
Hivi vina maudhui sawana closer's survival guide.
Ukivihitaji karibu.
 
Karibuni sana wote kwenye usomaji wa vitabu, njia pekee ya kujifunza kwa urahisi yale ambayo wengine wamejifuna kwa ugumu na gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom