Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Mkuu embu tuambie namna unavyofanya kusoma vitabu vyote? Je ni ukiwa nyumbani tu au kazini au safarini na mazingira gani kukamilisha kazi hiyo?

Binafsi nimesoma:

1. The Snows of Kilimanjaro ni kama Novel

2. Unlock her legs
Nina ratiba ya kusoma page 25 asubuh ninapoenda job na page 25 ninaporudi job yaani kwa siku maximum 50 pages na kama nikipata muda wa ziada inakuwa zaidi ya hapo kwa siku maana sio mdau sana wa mitandao ya kijamii ambayo wengi inawapotezea mda mimi natumia WhatsApp Twitter na jamii forum baaasi tena mara moja moja sana jamii forum ndio natumia mda mwingi sana na chochote ninachofanya kabla sijaanza lazima nitumie saaa kuangalia mda ili nijue ni mda gani natumia kwenye kitu flani hata kama ni kazi nafanya lazima niangalie mda nijue nimetumia mda kukamilisha

Zingatia time management na excessive use of social network.
Kitabu cha atomic habits kilinisaidia sana kupunguza matumizi ya mitandao ya kijamii.
 
Mwaka huu nimesomaqmbo ya kiroho tu. Mwakani ndio ntachanganya na mambo ya pesa.

1prayer of Jabez
2: Apocalypse, fafanuzi ya kitabu cha ufunuo.
3: Individuality in religion
4: Prayers
6: Miracles of Jesus
7dangerous Prayers
8: Life od Abraham
9: Bible (skjv)
10: Youtube audio books kutoka God's Daily News, CS Lewis insights and Reflections,

Sijasoma hadrcopy haya moja. Vyote natumia simu na lapotop
 
Mkuu naomba hicho cha don't believe anything you think
 
Shukrani sana Mkuu.

Nitaenda kuanza mwaka vizuri sana kwa kuzingatia haya madini uliyonipatia.
 
Hongera sana, sina hobby hiyo japo nilijaribu sana. Zaidi ya field yangu sina hobby ya kusoma vitabu for leasure.

Swali, hivyo vitabu vimebadilisha maisha yako kwa kiasi gani?
Vimebadilisha kwa kiasi kikubwa sana mkuu kwenye personal life na hasa kazini nisipokuwepo kwenye kikao staff wenzangu wanahisi kikao hakijakamilika maana naongea ukweli tena na data yote hyo ni kwasababu ya vitabu ila hata kwenye decision making nipo faster kwenye kufanya maamuzi.
Ukisoma kitabu cha long walk to freedom by NELSON Mandela huwezi ukawa bwege mkuu ilitakiwa vijana wapewe bure kopi wasome.
 
😆😆😆1. whose legs were you trying to unlock
2. Did you succeed😁😁😁
Hahaha, wachumba wa duniani na nilifanikiwa kuunlock kadhaa.

Kitabu iko poa sana.

Kimsingi hakijazingatia sana how to unlock her legs lakini imeeleza zaidi jinsi ya kutokujali watu wanaokuzunguka kama kile cha "The subtle art of not giving a f*ck".
 
Hahahahahhaah.

How to talk to anyone ni kitabu bora kwangu na kile cha Hnlock her legs
pia research papers na working papers zina taarifa sana ukiachana na vitabu

sema zenyewe ni za kitafiti zaidi

mfano hii working paper inaeleza kidogo jinsi matajiri tz wanavyopindisha sheria za kodi. ilinivutia.
 

Attachments

Umesoma vitabu vingi mkuu umewezajee..

Kuna hicho 34. Nakipenda Sanaa nilikisoma 2018

Kingine umekisahau kinaitwa

THE GODFATHER
 
Hahaha, wachumba wa duniani na nilifanikiwa kuunlock kadhaa.

Kitabu iko poa sana.

Kimsingi hakijazingatia sana how to unlock her legs lakini imeeleza zaidi jinsi ya kutokujali watu wanaokuzunguka kama kile cha "The subtle art of not giving a f*ck".
Hiyo title ya kibiashara ukikutana nacho lazima upekue kama kinasadiki yaliyomo kwenye title au
 
Mhhh! Kiongoz hii ulikuwa unasemaje? Au Kila kitabu kina page 20?

Kama nikweli basi hongera, anzisha Uzi mwingine ueleze kiufupi Kila kitabu kinahusu Nini na yapi yakujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…