Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Mkuu pwilo wasaidie vijana wa hapo mkurunga kwenye issues za ujasiriamali, na uwape soft copy.
Itawasaidia sana kutojiingiza kwenye makundi ya kihalifu kama IS,etc
 
"JACK OF ALL TRADES,MASTER OF NONE"


Mwaka huu nimesoma vitu vingi vinavyohusu field ninayoifanyia kazi.

Nadhani hili👆👆👆👆👆 ni bora zaidi kuliko kusomasoma tuu kuuchosha ubongo.

Kuliko kuwa umesoma mavitu mengi na huvifanyii kazi ni bora ukabobea kwenye vitu unavyoshughulika navyo kila siku.

Hii itakusaidia kuwa mbobezi stop this nonsense ya kupoteza ENERGY na FOCUS ili tu uonekane umesoma vitabu vingi and end result havina mchango wowote kwako.

#Acheni mkumbo, maisha yapo simple sana!!!
 
Upo sawa mkuu kila mtu na hobby yake mwingine anaweza kuangalia mpira masaa matano mwingine anaangalia movie siku nzima mwingine anashinda Instagram Facebook tiktok Twitter na thread sasa kati ya hao na anayesoma vitabu nani anapoteza mda na kuchosha ubongo mkuu?
watu wako bize na mwinjaku na baba levo ila hongera mkuu kwa kuwekeza kwenye kitu kimoja ila ingekuwa umesoma baadhi ya hvyo vitabu usingesema hivyo umeangalia movie mwaka huu?
 
Anayesoma vitabu ambavyo havitaongeza chochote kwenye day to day hustle naye anapoteza muda.

Mimi nawachukulia wote ni wapoteza muda.

Ukiwa mjasiriamali ukisoma vitabu vya ujasiriamali hapo huna ulichopoteza ila ukianza kusoma vitabu vya kihistoria na blablaaa nyingine hapo umelost.

Ukiwa Doctor alafu inasoma vitabu vya politics au interprenew hapo unapoteza muda amua moja ili uutumie muda vizuri,n.k.

Tukumbuke muda ni mali sana!!!
 
Pole mkuu,

Haijalishi upo kada gani lazima usome
Finance books,
Self help books,
Emotions books,

Kuna kitabu kinaitwa EGO IS THE ENEMY kinasema you will be hired 20% by IQ but you will be fired by 80% your EQ fuatilia yule kamanda wa dodoma alitumbuliwa kwasababu gani kwenye lile tukio la binti wa yombo
Na viongozi wengi kwa nini wanafeli kwenye uongozi wao ni kwasababu wanakosa EQ(emotional intelligence)

Vitabu vinakusaidia uzungumze nini kwa wakati gani viongozi wote duniani wanasoma vitabu tena vya mchanganyiko mbali mbali lazima ujifunze baadhi ya vitu kupitia vitabu la sivyo kwa hali ya sasa itakuwa unaenda anticlokwise.


Kitabu cha THINK BIG cha ben carson anaelezea jinsi alivyotoka kuwa kilaza wa darasa mpaka kuwa daktari bingwa kupitia vitabu baada ya mama yake kumwambia ampe SUMMARY ya vitabu vinne kila mwezi baada ya hapo maisha ya ben carson darasani yalibadilika mpaka mwalimu akashangaa tafuta kitabu cha Ben Carson THINK BIG NA GIFTED HANDS wape wototo wako wasome na wewe usome halafu urudi tena hapa jamvini kuleta mrejesho.

Alamsik.
 
Nikipata mda nitaelezea faida za kusoma vitabu kitaalamu zilizoelezewa na baadhi ya watu kama kina ben carson daktari bingwa wa (neurosurgery) ameelezea faida kusoma nikipata mda nitaleta hapa mkuu.
 
Kw
A huu umeme wa tanesco aunkutumia solar?
Hao watoto wapi ya kayumba ua english medium wanaotoka 11 alfajiri na kurudi 12jioni hadi mbili usiku na home work kibao?
 
Nikipata mda nitaelezea faida za kusoma vitabu kitaalamu zilizoelezewa na baadhi ya watu kama kina ben carson daktari bingwa wa (neurosurgery) ameelezea faida kusoma nikipata mda nitaleta hapa mkuu.

Mafanikio ya Ben Carson ni yake build yours!!!!

Hapa duniani kuna wewe MMOJA, mimi MMOJA.Stop living other peoples life.

American life ni mbingu na ardhi na huku MAVUMBINI/SHITIHOLINI.

Usomaji wa vitabu ni kama kusikiliza sera za wanasiasa, these idiots/ Writers watafanya kila namna wakushawishi kuwa wao ndo the BRAINERS. Mwishoni ukija kugundua ukweli unajua hawa viumbe vyote wanavyoamini ndo wanavyoviandika.

Sasa kwenye somo la LOGIC ambalo wengi hawajalisoma, utapata kuona kwamba hutakiwi kuendeshwa na MITAZAMO YA MTU REGADLESS YA CHEO AU MAFANIKIO YAKE hii ndo msingi wa kujua kweli.

Ukifatilia hata hii minyukano ya siasa ni watu kukosa LOGIC tu hivyo wanabaki kuendeshwa na mihemko na mapenzi kwa wawapendao.

So back to the topic MIMI BADO NTAENDELEA KUSISITIZA utunzaji wa muda katika kuyaendea mambo.

Leo kuna watu wana degree saba wengine 1st degree kasoma MEDICINE, 2nd anasoma BUSINESS ADMINISTRATION anaongezea na LAW ila kwenye practise hana hata moja analofanyia kazi😁😁😁😁

Hawa opportunistic sio wakuwaendekeza hawa ndo "JACK OF EVERY TRADE, MASTER OF NONE"
 
naona umepinga usomaji vitabu kimkakati sana. Zingatia neno hobby.
 
I see umejitahidi.
Mimi;
1) Cashflow Quadrant by Robert Kiyosaki (hiki nakirudia karibu mwaka wa tatu sasa)
2) Start with Why by Simon Sinek
3) Own Your Own Corporation by Robert Kiyosaki (sijakimaliza)
Articles kadhaa zinazogusa Cassava farming and processing, agroforestry, poultry and agricultural marketing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…